@Twaha_Mwaipaya@jjmnyika Hili swala msilifanye ki chama zaidi wapeni nguvu wananchi,Hata ccm niwengi sana wanalipinga lakin hawawezi kuingia kwenye huo mkusanyiko.
@Jumaallymwiguru Nikweli wengi tunakesha club kufurahia muziki lakin hatuujui,wacha tuendelee kuburudika na mpira sio lazima tuujue kiundani.kama kuna watu umewalenga usitujumuishe na sisi mashabiki.ππ