๐ฌ ROBIN FENT 'Rihanna' ndiye mwanamke aliyesababisha Marekani ishindwe kumsamehe CHRIS BROWN hadi leo
CHRIS BROWN ni 'full package', amebarikiwa sauti, ana kipaji cha kuimba na kucheza kwa wakati mmoja. Hatutahesabiwa dhambi tukikiri, huyu ni Michael Jackson wa zama zake
Leo asubuhi nilienda Hospital kama kawaida yangu kwasababu Sativa toka ameenda kufanya upasuaji juzi hakuna aliyekuwa akiruhusiwa kumuona
Hivo leo nilienda kumuona hali yale iko vp anaendelea vizuri tu japo anapata shida ya kuongea kwasababu upasuaji ulifanyika kwenye taya.
Leo wakati naondoka home kwenda hospital niliwapa salamu tu za Sativa mkafurahia habari njema kutoka kwake mi nikawa offline mpaka nilipokutana na mgonjwa ambaye nimeachana naye jioni shukrani kwa maombi yenu Sativa anaendelea poa tu wazee wangu.
Asubuhi wakati nipo kwenye Bolt iliingia simu ya Dada wa ACT alijitambulisha kwa jina la Rahma wa ACT ana maongezi na mimi so nikamwambia nipo kwenye bolt tutawasiliana nikitulia, Unfortunately sijpigia ( Sio makusudi nilisahau baada ya u busy mwingi ) .
Jioni wakati narudi home nikakutana pia na Missed calls ya watu wawili toka humu niliwajibu nikitulia home ntawacheck.
So baada ya kufika home ndo napigiwa simu na Brother Patrick kuwa kuna mambo yanaendelea huku ikisemekana kuwa kuna michango ya wanafamilia ya X imeliwa.
Mi sikushangaa hiyo issue immediately baada ya mandishi kadhaa utanielewa kwanini sikushangaa.
Kwanza nimesikitika sana kuona watu wanafanya drama zenye maslahi binafsi kwao ni kitu cha kusikitisha sana nimeingia nakutana na tweets za ajabu mpaka nikajiuliza inamaana huyo dada wa ACT ndio alinicheck kuniuliza hii issue mbona imekaa kikakitili sana? Nikapata majibu kadhaa
Well, kwanza mi nilijua tu hili swala la wanafamilia kufanikisha jambo la kuhakikisha Sativa anapona kwa gharama zozote na pia wanahakikisha engineer Matarra kuwa huru sio jambo dogo ni jambo kubwa na la kushtua lazama ingetokea la kutokea.
Turudi kwenye hoja bado mimi nina maswali nimeona Rahma anasema kuwa wametoa gharama kwanzia Sativa yupo katavi mpaka anafika Dar es Salaam na risiti anazo atanitumia mimi Whatsapp swali ni why jambo la public aniletee risiti Whatsapp? Kama risiti zipo si aweke public watu waone asilazimishe anitumie mimi private.
Kingine, gharama za Escort ya polisi, Ambulance, na shirika la kina Wakili Kisabo ni vitu ambavyo tumekuwa tukiwajulisha umma kuwa tumelipa Escort ( Hata kwenye tweet jana niliongea ) tumelipa ambulance na gharama nyingine zikiwemo za Shirika sasa ni kwanini hao ACT hawakuweza kutuwahi kuujulisha umma kuwa kuna michango wametoa wao ila tunatangaza tumetoa sisi why waje leo wakati toka muda tunatangaza ni sisi tunalipa.
The day tunalipa Ambulance na Escort ya Polisi ilikuwa ni Muhimbili saa 10 usiku tulitoa amout yote shahidi alikuwa ni @IAMartin_@ExMayorUbungo@MiriamMkanaka mwenyewe familia ya Sativa nakumbuka @PresenterNoah alikuwepo pia na tulikuja kutoa taarifa kuwa tumelipia Costs flani why mbona hawakuja kusema kwanini mnalipia costs flani wakati Zitto kalipa wanakuja leo kuleta hii agenda.
IT WAS A SET UP, Why Hospital ya Agha Khan hawaruhusu Picha ndani ya Chumba cha mgonjwa haswa VIP chumba ambacho yupo Sativa but zilipigwa picha za Zitto akiwa kwa sativa na katika hizo picha hamna picha official ambayo unaona kabisa hapa hii picha wote wameridhia kupigwa ni picha za kuvizia.
Pili, kama picha za Zitto akiwa agha khan zilitoka mapema taarifa ya Zitto kuwasiliana na rais imetoka mapema why taarifa ya Zitto ku deposit 10M imechelewa kutoka na sisi tulikuwa tunatoa taarifa kuwa tunalipia costs flani na Flani??
Kuna mtu humu alikuwa katavi alisogea mpaka Hospital anaitwa @prossoff huyu alishuhudia Control number ya Hospital ya kule Katavi ikifanyiwa Deposit kutoka kwenye michango ya X na michango mingine yote ushahidi wa mahesabu upo.
Lastly, siku ile wameanza trend ya kutuma miamala na kuwa refunded nilisema kuwa hii ni agenda ya kututoa mchezoni na saizi wameona nguvu ya x ni kubwa wanataka kutuangusha hii haitawezekana.
Kwasababu hata michango ya raisi ikitoka kunakuwa na public statement official kuwa raisi kachangia kiasi flani why hii ya saizi tumeipata kupitia Zitto??
Well natamani niongee vitu vingi sana nieleweke ila nahisi ntaharibu.๐๐
NIKUPE STORY YA HUU MTAMBO.
Huu mtambo peke yake una Uzito wa Tani 14,200, Speed yake ni ndogo sana umbali wa Mita 2 wenyewe hutumia Dakika nzima, Namaanisha, Hatua zako mbili huu mtambo unatumia dakika nzima kuzimaliza.
(THREAD) ๐งต
@Oleshangay@fatma_karume@SuluhuSamia Hajibuuu makuuu uyu wa vuswaniiii savvi bibi yake kashika usukani kaufyataaaa mku wakt wa nagu kilanga kama babu yaje wakt w uhyr
@fatma_karume Ndiomana sahivi umekuwa kimya coz ni wa kwenu, shenzyyyyyy wrw toka uko, wew unaishi na umekuwa kwa kodyiii zetuuuu alafu unajileta, mungu akunyome kila kitu upate kifo tu