@koncept_tv@MagufuliJP Kiherehere tu huyu...Mwenyekiti taifa kishasema sasa namba tatu unaleta mtumbo wako mkubwa mbele ya jamii.bora korona ikupitie uipe salam
#NipeDili
Nina mtama mweupe zaidi ya gunia 100. Mzigo uko Kalenge Biharamulo.
Tuwasiliane kwa anayehitaji.
0788700445.
RT kuendeleza biashara.
Asante kwa kujali.
@gracemella95@ringia_adelah Tushamchangia huyu mchango wake akanunue akili mpya maana alizonazo zimchacha....@rollymsouth toa hela dadaako akanunue akili bhana
Inasikitisha pale unapomshauri mtu ajikinge na corona kwa faida yake, halafu yeye anakucharukia utadhani akishajikinga, basi anayeshauri anaongezewa umri wa kuishi. Hivi akili zetu zikoje? Basi usijikinge kwa kuwa usipojikinga mshauri atapunguziwa umri wake wa kuishi
☞NJIA YA KUNICHANGIA NI ZIFUATAZO.
➡UNAWEZA KUNILIPIA MOJA KWA MOJA KWA KUTUMIA INVOICE NO 994070171155.
➡AU UTANITUMIA KWA NO:- 0628207533 ILI NILIPIE MWENYEWE KAMA INVOICE ITAKUSUMBUA.
USHIRIKIANO WENU NDIO MAFANIKIO KWANGU,ASANTENI
KINDLY RT.