I’m a civil Engineer with the highest global qualifications of Civil engineering, and I can tell you that beyond design or anything, this is the Will of Almighty God at play, he is the master of All engineers and designers.
Did you know the disaster this family just survived ? ??
"Jueni kwamba maisha ya dunia ni mchezo, na pumbao, na pambo, na kujifakharisha baina yenu, na kushindana katika mali na watoto..."
Surah Al-Hadid 57:20
Kwenye simu kuna iPhone; ni ndoto ya watu wengi kuwa na iPhone, alafu tukija kwenye umeme kuna meter brand ya fluke. Ni ndoto ya kila electrician kumiliki clamp meter au multimeter ya fluke.
Wakuu
Naomba kuuliza Jambo moja
Kutoka Magufuli BT mpaka Mtwara ni wastani wa KM576 kwa Gari ya VIP ni kati ya 39,000 mpaka 42,000.
Kutoka Magufuli mpaka Moshi Mjin,ni wastani wa KM547, kwa gari ya VIP nauli ni 55,000..
Tofauti ya 15,000 nzima.
Je kanuni gani inapanga nauli
Usikubali kukatishwa tamaa, komaa hadi wakatishaji tamaa wakate tamaa wenyewe🫵
Usisite kunipigia simu pale unapohitaji fundi umeme kwa ajili ya jengo lako, nipo Mwanza ila sehemu yoyote mteja akinihitaji nafika, karibuni sana🙏
Call 0714361234
#MkonoWaJay⚡️
Natamani yaa Rabbi nisife ila niwaache familia yangu na Kizazi changu Rashidi's family katika hali nzuri ya Dini na Dunia yao na kama utanichukua basi hakika hao ni waja wako wajalie kheri ya Dunia na Dini yao nifishe Mimi Muislamu juu ya Sunna na nikutanishe na waja wako wema.
@salahudeen33 B.114 The number of Bismillah in the Qur’an is 114 times, and 113 of them are mentioned at the beginning of the surah, except for Surat al-Tawbah, and it is mentioned twice in Surat al-Naml, once at the beginning of the surah and another within its verses, so the total is (114)
Swalatul Fajr ya siku hizi ukijifanya tu unaamka saa kumi na moja kamili kila siku utaishia kukosa jamaa. Nyakati zinakulazimisha uamke kumi na nusu upige hata rakaa mbili nyumbani ndio uende Msikitini angalau Jamaa utaiotea.
Swalatul Fajr ya siku hizi ukijifanya tu unaamka saa kumi na moja kamili kila siku utaishia kukosa jamaa. Nyakati zinakulazimisha uamke kumi na nusu upige hata rakaa mbili nyumbani ndio uende Msikitini angalau Jamaa utaiotea.
Moja ya faida ya ndoa mpaka sasa nilioipata ni akili kuwa utulivu wake.
Kama kazi nafanya katika standard zake, kama kuzungumza au kuchangia mada nachangia katika standard zake, hata malengo ya maisha yamenyooka.
Utofauti mkubwa sana naona na kabla sijaoa.
OA OA OA OA KIJANA