Mapema leo nikijuliana khali na Mama Fatma Karume, Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, baada ya kuhutubia na kuzindua Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha Tanzania (TAWiFA) Kizimkazi, Zanzibar.
Katika hotuba yangu nimeendelea kusisitiza umuhimu wa taasisi za kiserikali na binafsi kuhakikisha zinafanya juhudi za makusudi kuwapa wanawake nafasi ya kusikika, lakini huku hilo likiendelea, wanawake nao wanapaswa kujipanga ili kufikia malengo yao kwa vitendo.
Kutokea Kasulu Mjini, Wana CCM wenzangu wote Tanzania nawatakia umoja, amani na ushindi wakati wote tunapo sherekea miaka 47 ya kuanzishwa kwa Chama chetu.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.👍
CCM imekuwa na utaratibu huu usiovunja sheria za nchi wa kuandaa chipukizi miaka mingi. Kipindi hiki cha mitandao ndio kila kitu huonekana kipya. Aidha Wanachuo hawajakatazwa kujiunga na vyama ndio maana mna chaso, kwa kukosa kwenu watu imekufa. Siasa ni imani na imani ujengwa.
Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa upendeleo mkubwa kwangu kuniwezesha kuhitimu masomo yangu ya Shahada ya Uzamili katika Utawala wa Kimkakati kutoka katika Chuo cha Uhusiano wa Kimataifa Cha Dkt. Salim Ahmed Salim.
Alhamdullah.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana akisilimiana na mmoja wa mabalozi kabla ya kuanza kuzungumza nao wakati wa kikao cha mabalozi zaidi ya 800 wa Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani.
#KaziIendelee
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa nchi mbalimbali Duniani kabla ya kuelekea kwenye Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaofanyika katika Jiji la Dubai Expo Desemba 01, 2023.
Salamu za Pongezi kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. @TuliaAckson (Mb) kwa kupata kura nyingi na kuchaguliwa kwa ushindi wa kishindo kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
#KaziIendelee
Leo nitawasilisha mada ya historia ya CCM kwa kuanisha mambo 10 ya tofauti. Nawashukuru sana wana CCM wenzangu shina la @CcmChina kwa mualiko huu, nawakaribisha nyote katika darasa letu hili. Kupitia Zoom Meeting, link kwenye bio yangu.
Karibu sana ndugu zangu.
Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan (@SuluhuSamia ), kipekeee niweze kumshukuru yeye kwa kuweza kuniamini tena ili niweze kumsaidia katika jukumu la Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum.
📸 Katibu wa NEC, SUKI Ndg. Rabia Abdallah Hamid amekabidhiwa Ofisi Rasmi na aliyekuwa Mkuu wa Idara Hiyo Ndg Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk ambaye ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki, Makabidhiano hayo yamefanyika Mapema Leo Trh 25 Okt 2023
#CCMImara
Oktoba hii Mhe. Rais @SuluhuSamia alikuwa nje ya Nchi akipambania fursa za Nchi yetu, Oktoba hii hii tayari yupo Mikoani akisikiliza na kutatua kero za wananchi pamoja na kuzindua miradi mikubwa ya maendeleo. Hakika Kazi inaendelea kwa kasi tena bila kelele.
Tumuunge Mkono.
"Wakati wote, tutaendelea kuwa waaminifu wa Chama hiki (CCM). Tutaendelea kukitetea na kukisemea sera zake popote pale kwa wivu mkubwa na kwa nguvu zetu zote." #TunaimaniNaSamia#VitendoVinaSauti#KaziIendelee