@feisal01 Kuwa muongo bila sababu ya msingi, kuwa na wanawake wengi nikifkiri ni ujanja, kupiga punyeto,kutosimamia malengo, kuacha kuswali, udhaifu wa kwenye maamuzi, kutomba hovyo
vijana wajichunge kwenye haya ๐จ
@MsomiKhan18 Ukweli ni kwamba Wasomi wengi kutoka Vyuonj hii mifumo hawaifahamu kabisa, na hii inatoka na ufinyu wa ufuatiliaji wataarifa wa ndani na nje wa kile unachosoma
Toa darasa mzee, na wakumbushe ni muhimu Dunia ya leo kuijua mifumo mingi
Watu wa manunuzi (procurement) wekeni macho