Ya Allah! Tunakuomba utuondolee uvivu/usingizi wa kupitiliza ili tuweze kuswali tahajjud na sala nyingine za usiku. Tujaaliye mwezi huu uwe ni wenye kutukurubisha kwako na kutudumisha kwenye ibada. Tukubalie maombi yetu na utujaaliye fadhila za mwezi wa Ramadhan! #RamadhanKareem