Mtoto wa Samia Suluhu hassan,Askari Wa Maendeleo,Mpenda Haki,kiboko ya wapinzani,kijana Wa Suluhu,mpenda amani,Muhubiri Wa Mazingira Tanzania Go Green Projects
@JosephMutakubwa@YerickoNyerereT Kaka acha uongo basi,sie ni wafuatiliaji wa karibu wa sakata hili,Israel inapigwa na tumona iron dome imezidiwa hadi marekani kuingilia kati pia haijasaidia
@EduTalkTz Inaonesha huna historia ya biashara kwenu wala wewe,utajiri unapimwa pia ana kiasi cha wewe kukopesheka,hivyo ina maana mama anakopesheka,bila mikopo husongi mbele kaka๐
@ExMayorUbungo Acha chuki kaka mkubwa,haya ni maisha yake binafsi ana haki kushabikia chama cha siasa anachokipenda,angekua anashabikia chadema hapa kila mmoja wenu angekaa kumshangilia kisa itikadi ya chama isiwafanye maneno yawatoke sana,tubadilike siasa si chuki wala uadui