Tarehe 7/2/2025 Big Wig Mmoja hapa X Alipost Hii gari Toyota 86..
.
Nikaona wapiga kura wengi wameitolea macho ๐mixer tagging za hapa na pale..
.
Wakitaka kupata undani wa chuma ili wapate kuijua so ikatubidi tuingie mzigoni..
.
Sasa kaa vizuri funga mkanda tuanze safari ๐
๐๐ถ๐ป๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฎ ๐๐ฑ๐บ๐ถ๐ป ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐ด๐ฟ๐ผ๐๐ฝ ๐น๐ผ๐น๐ผ๐๐ฒ ๐น๐ฎ ๐ช๐ต๐ฎ๐๐๐ฎ๐ฝ๐ฝ
Najua umeshawahi kujiuliza hivi inawezekana kuwa group Admin wa Kundi lolote la Whatsapp ?
Uzi ni wako ๐ก
4.3M BOOOOOOM๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Hii ni mikeka ambayo nilipost yote hapa BURE.โ ๏ธ
LEO tena naenda kufanya kama jana na juzi na majuzi. ๐ฅ๐ฅ
Mwendo wa kumkamua MUHINDI MPAKA DAMU ๐ซ๐จ
MIKEKA YANGU NI BURE. KAMA UNAPITWA NAYO NJOO WHATSAPP NIKUADD KWENYE MAGRUPU YANGU BURE.
whatsapp: 0757637880
Andika: "Ni add"
Telegram channel: https://t.co/4rVNklNcGa
Sharti ni moja huku natumia PARIPESA TUU. kwahiyo jisajili kabisa.
Jisajili: https://t.co/GmiMuN8pQx
Promo code: SATIVA17
๐จGIVE AWAY IPO KAMA NILIVYOAHIDI.๐จ
NITAGAWA MITAJI YA KUBET KWA WATU LEO. MASHARTI NI MAWILI.
1. LIKE & REPOST THIS POST.
2. WEKA NAMBA NA MAJINA YAKO.
SHARE NA WANA ๐ต๐ต๐ฐ๐ฐ๐ฐ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Hizi hapa Hints nilizotumia kutoa Lock mbali mbali nilipotekwa na jeshi la polisi.
1. Walionikamata walikuwa wamevalia nguo za nyumbani. Nilipokuwa najigeuza kujaribu kusumbuana nao ndio nikaona kiunoni kaficha pingu.
Kisheria pingu zinamilikiwa na watu wa vyombo vya usalama.
2. Nilipelekww kituo cha polisi O'Bey. Nilipelekwa pale ila sikupelekwa mapokezi kuandikishwa kama mtu aliekamatwa na kufikishwa pale siku ile. Nilipelekwa nyuma (kalakana) ambako wao walidai ndio ofisi zao zilipo, ndani ya mazingira ya kituo cha polisi.
3. Mtu mwenye muonekanano ; Mrefu , Mweusi, mwili wenye ukakamavu kama mtu wa mazoezi, alivalia jezi ya simba, alivalia bukta ya kaki, gari zuri kubwa aina ya SUV. Na wale walionikamata walikiri ni kiongozi mkubwa na alipofika walimsalimia kwa kupiga SALUTE ya ukakamavu wote.
Huyu mtu baadae ndio nikaja kumtambua kuwa ndio FAUSTINE JACKSON MAFWELE. Sifa zote nilizotaja wakati simjui ndio hizo anazo. So hata yeye aliposikiliza ile siku interview alijua namjua maana hakuna sifa ya nje sikuitaja.
4. Kuhesabu idadi ya nyimbo kutoka nilipotoka kituo cha O'Bey mpaka round abaout ya Bagamoyo kuelekea Arusha. Nilipokuwa natolewa Obey na wale watekaji wengine waliovalia Mask, waliweka mziki na aina ya nyimbo zilizokuwa zikipigwa ilikuwa ni Ragae. Hapo nilikuwa nimefunikwa na Mask siwezi kuona nilikuwa naishi kwa hisia tuu huku gari ikiwa kwenye Speed ya juu.
Nilianza kuhesabu zile nyimbo, na zilipigwa nyimbo kama 10 hivi , na kwa makadilio nyimbo za Ragae ni kama dakika 45 -50 hivi maana zile nyimbo huimba kwa dakika 3:30-4. Kisha dereva akaturn left kisha akasem "Back to our roads". Waliofika arusha mnaweza kuelewa kuwa hapo ni Round about ya Bagamoyo.
Part 1 ya utambuzi wangu nikiwa Dar. Nakuja na utambuzi wangu nikiwa Arusha, huku wao wakinilaghai kuwa wamenipeleka Malawi.๐ค
SATIVA17๐ซก
Nataka mwenye ako na ndevu, pesa, six pack, mweusi, mrefu, mpole, awe na boxer 70, soksi pair 50, taulo nyeupe, shuka nyeupe 8, awe mcha Mungu afu asiwe muongo na hapendi mpira๐
Nimependa sana, Idea ya Mwana
Na mimi naenda ku-badili Geto langu kama hivi!๐๐
Hapo pameonekana vizuri sana ๐๐ฝ
Angalia alichofanya....
Video kwa Comments๐๐พ