@slvrevel@Dr_Thadeus_09 Ukiwa Una Maana Gani ?? Hizo CUHAS NA KCMC ni Vyuo Vya failure from MUHAS, UDOM NA MCHAS ....ilaa Wana pesa, Yaani Wengi waliopo Huko ni walikosa NAFASI hivyo Vyuo Mtabisha ila Ndio ivyoo....
HAMPENDI UKWELI
@mbilikiller@ChachaWegelo@Dr_Thadeus_09 HAMPENDI UKWELI NYIE, YAANI BUGANDO aizIdi UDOM au MCHASI Kwa sasaa ..... BUGANDO asuburi Wanafunzi wa Dirisha La pilj na La Tatu Hizoo Ndio Sampuli zakee
@MwambogelaI@Dr_Thadeus_09 Kakaa Nikuulize Swali?? Facilities Zipi Unazungumzia wewee ....Maana Kamaa Ni Hospital Kubwa MCHAS Kuna MZRH na UDOM Kuna BMH Ambayo Kwa Sasa Inaelekea kua Hospital ya Taifa, hata Juzi wamewapa wenzao wa BUGANDO First Kidney Transplant....Ma Chief hao Ndio Walimu wa hao Wanafunzi
@pauljulius147@Dr_Thadeus_09 Kakaa Upo Sawa Kabisa CUHAS na KCMC Ni Vyuo Kongwe Sanaa Nchini Ila Kwa Ubora na KUTOA Madaktari Walio Pikwa Wakapikika UDOM Now Inaongoza .....