Mwandishi pekee aliyesimama na watu anayefanya kazi kwa weledi. Siyo kama kama wale waandishi wanaopangiwa maswali ya kuuliza na vitu vya kuandika. @ThatBoyKhalifax apewe 🌹🌷🥀yake.
ABC News ya Marekani imeripoti kuhusu kesi za ugaidi Tanzania…..
Hii ndio Tanzania ya Jakaya Kikwete na Samia Suluhu. Wako tayari Tanzania ipoteee na kuwa kama Sudan ila sio wao na familia zao kuachia nchi ili Watanzania wapate haki ya kuchagua bunge lao, Chama chao and most importantly rais wao….
Inabidi Watanzania muelewe kuwa nchi ipo hapa sababu watu wawili na washirika wao wanataka kuinyonya Tanzania milele.
Hii ndio Tanzania chini ya chama cha mapinduzi…….
Ahsante @HecheJohn kwa kuendelea kurisk uhai wako kwa manufaa ya nchi yetu.. Watanzania hatuna cha kukulipa zaidi ya kukuombea dua. Wewe na Lissu ndio viongozi pekee Tanzania mnaostahili kuombewa na Watanzania.
https://t.co/1zFJm9z9pC
At the Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) seventy-third meeting in extraordinary session on Friday, 10 July 2026, one specific time bound action was #FreeTunduLissu in 30 days
12 days to go to the deadline
Katika mkutano wa dharura wa 73 wa Kikao cha Mawaziri wa Jumuiya ya Madola (CMAG) kilichofanyika siku ya Ijumaa, tarehe 10 Julai 2026, hatua moja maalum iliyopewa muda maalum wa kutimiza ilikuwa #FreeTunduLissu ndani siku 30
Siku 12 zikiwa zimesalia kufikia tarehe ya mwisho ya Jumuiya ya Madola ambayo ni Agosti 10,2026
Je serikali HARAMU imejipangaje? Watakaza fuvu wakumbane na vikwazo zaidi au wataleta maigizo? Tunachotaka ni Tundu Lissu aachiwe BILA MASHARTI!
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Bw. John Heche amesema tatizo kubwa la Tanzania ni uongozi wa serikali unaotokana na Chama Cha Mapinduzi CCM pamoja na jitihada zinazofanywa za kunyamazisha sauti za wenye maoni, mawazo na hisia tofauti kuhusu mwenendo wa serikali pamoja na matumizi yasiyo sahihi ya rasilimali za Nchi.
Heche ametoa kauli hiyo leo Julai 28, 2026 wakati alipotembelea kijiwe maarufu cha Mbao, Mwaloni, Sabasaba Jijini Mwanza na kuzungumza na wananchi, akisema hofu iliyopo Nchini inatokana na matukio ya utekaji, upoteaji na kuumizwa kwa watu wanaopaza sauti kuikosoa serikali, suala ambalo limewaathiri si tu wapinzani bali pia wanachama wa Chama tawala.
"Kusema tunataka katiba mpya sio kosa na tatizo la nchi hii ni Katiba. Watu wote wanaojitahidi kutoa sauti kwamba sisi ni Nchi ya tatu kwa kutoa dhahabu kwanini watu wetu ni maskini? Kwanini watu wetu wanaumizwa? Kwanini watu wetu hawana matibabu? Kwanini ziwa lipo hapa lakini watu hawana maji? Kwanini wakinamama wanajifungua mazingira mabovu? Ukipaza sauti ni aidha uuwawe, utekwe au upotezwe hata kama ni MwanaCCM, Polepole alikuwa Mwenezi wa CCM Mjumbe wa Kamati kuu CCM, Balozi aiyechunguzwa na Vyombo vya ulinzi na usalama leo amepotea kama kuku. Tutaishi kwa hofu mpaka lini?
... Wengine tuna familia tunaelewa hatari iliyopo lakini nimejiuliza kama sio mimi ni nani? Kama sio sasa ni lini? Mimi nimeamua kuwa mstari wa mbele, tuungeni Mkono, mnataka tumuachie Mungu? Wanatuambia tutaenda kuishi vizuri mbinguni. Mungu ambaye anataka tukaishi vizuri mbinguni, angetupa dhahabu? Angetunyima kila kitu ili tukaishi vizuri mbinguni na kusubiri maisha hayo mazuri mengine. Mungu ambaye anataka tukaishi vizur mbinguni asingetufanya kuwa wamiliki pekee wa Tanzanite duniani, asingetupa mbuga kubwa kuliko zote." Amesema Bw. Heche.
‼️🚨PUBLIC NOTICE
Alert Level 5: Terrorists Operating in #Tanzania🚨
The security situation in Tanzania, both in Tanganyika and Zanzibar, has been rapidly deteriorating over the past 10 months. Cases of terrorism and terrorists have been significantly reported. The country has entered a new level of lawlessness, with over 130 citizens arrested over terrorism-linked plots as reported by the Tanzania Police Force.
Police authorities based at the headquarters in Dodoma, Tanzania, have additionally confirmed that on July 22, 2026, they arrested and charged three lecturers from the University of Dodoma (UDOM) including Dr. Melkisedeki Kaijage with terrorism-related offenses. From Mwanza, a region
situated along the shores of Lake Victoria which is part of the Serengeti National Park and other regions, police reports indicate that the police are arraigning more terrorist suspects; denying them bail until August, when their cases are scheduled to return to court.
The accused are all charged with terrorism even though the police linked their activities with planned peaceful protests.
Visitors are hereby warned that those entering Tanzania (including both
Tanganyika and Zanzibar) for tourism and investment are at risk of being facing terrorism acts and charges.
The presidential commission attested in April 2026 to the disappearance of over 700 people between 2024-2025 following an initial estimate of over 200 people by UN Human Rights Experts in June 2025. Hence due to the widespread prevalence of terrorist acts and abductions across the country, visitors are strongly advised that any travel to Tanzania (Tanganyika &
Zanzibar) during the high season of July-December 2026 is undertaken entirely at their own risk.
Be informed!
#SamiaMustGo
@MariaSTsehai@nchimbie Wewe akili yako kama yangu! I will never trust any member of CCM.
Yaani leo makamu, a 2nd powerful person in the country atuambie tupambane kupata katiba mpya?? Yeye na serikali yake ndo kikwazo cha katiba mpya, sisi tumeshapambana wakatuua, wakatufunga na kutufukuza na hatuachi
@officielsalome Nashangaa eti mnamuona Nchimbi kama mkombozi. Uyu ni makamu wa Rais wa serikali fake! We acknowledge nothing from him. Kama yuko tayari kupambana basi anake mfumo ulomuweka madarakani
Hakuna kitu kikubwa na faraja hapa Dunia kama kupigania HAKI, Kusima kwenye HAKI. Tundu Lissu amefungwa na Samia lakini ni kimwili tu, roho yake iko huru
Samia amefungwa kimwili na kiroho , Samia amefungwa na Mungu, amemnyima KUKUBALIKA machoni mwa Dunia, Amemnyika mafanikio, anatembea kama sanamu tu hana heshima yoyote popote pale, anaishi kwenye uongo
Samia anatembea ananuka damu , Hauna furaha yoyote amechoka/amechakaa vibaya sana