Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche amewataka wanafunzi wa Vyuo Vikuu, wanachama wa Chama hicho kuchagua kuiunga Mkono CCM ili wafe vibudu au kupambana na Chama hicho wakiwa na matumaini ya kubadilisha hali iliyopo Nchini pale watakapofanikiwa kuwatoa madarakani.
Heche ametoa kauli hiyo wakati akishiriki kama mgeni rasmi kwenye Mahafali ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Mkoa wa Iringa (CHASO) katika Ukumbi wa Gentle Hills, Iringa Mjini, akisema Chama Cha Mapinduzi kimedhihirisha kushindwa katika kuhudumia wananchi wa Tanzania.
"CCM imeoza, hawana uwezo, niambieni ni nini wameweza, ni matundu ya vyoo Chuoni? Sasa masuala ni mawili, chagueni kujipendekeza CCM ufe kibudu au tupambane na CCM tukiwa na matumaini kwamba tukiwatoa tutabadilisha hali hii." Amesema Heche.
"Sera yao ya afya inasema kila Kata iwe na Kituo cha afya leo miaka 65 baadae tuma vituo vya afya havifiki 3,000 nchi nzima ukichanganya na vya Taasisi binafsi. Wamechukua miaka 65 kujenga vituo vya afya havifiki hata 3,000, maana yake ili wajenge vingine 3,000 wanahitaji miaka mingine 65. Ili walete lami Kijijini kwenu wanataka miaka mingine 65, tutakuwepo? Mpo tayari kuvumilia hiyo miaka 65? Miaka 65 wametengeneza ajira 500,000 maana yake ili wafikie ajira Milioni moja wanahitaji miaka mingine 65, wakati huo tutakuwa Milioni zaidi ya mia moja na hili ni jambo ambalo haliwezekani kwasababu hawawezi hata kutengeneza toothpick na viwanda vyote alivyoacha Mwalimu Nyerere vimekufa." Amesema Heche.
@zittokabwe@Wakazi@cw_pedro Kwanini wawe wajinga kisa hawakubaliani na mtazamo wako?
Tanzania Ina watu wangapi wenye vigezo vya kuenziwa hivi?
Kwahiyo kila mahali na kila kitu viitwe kwa majina ya watu?
Tena saivi ukiwa na cheo tu, unakuwa na hadhi ya jina lako kutumika kwenye vitu.
Felix Nmecha alieleza kwa nini alisali pamoja na timu ya taifa ya Curacao baada ya mechi:
“Uwanjani sisi ni wapinzani, lakini baada ya mchezo sisi wote ni Wakristo na sisi ni ndugu.”
“Tulifanya sala fupi kwa pamoja kwa sababu tunaamini Yesu anatukuzwa kupitia mchezo huu wa soka.”
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa mfululizo wa misukosuko na vitisho vikubwa vinavyoikabili CHADEMA unatokana na msimamo wao thabiti wa kukataa siasa za kuitana faragha na kudanganyana.
Heche ametoa kauli hiyo jana, Juni 13, 2026, alipokuwa akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara mkoani Iringa, ambapo ameshutumu vikali hatua ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kugoma kuwatambua viongozi wakuu waliochaguliwa kidemokrasia katika uchaguzi mkuu wa chama hicho uliomalizika hivi karibuni
.
Mwanasiasa huyo amefafanua kuwa, tangu safu mpya ya uongozi ilipochaguliwa kidemokrasia mnamo Januari 21 mwaka huu kupitia uchaguzi uliorushwa mubashara kwenye televisheni nchini kote, utawala umeanza chokochoko za kisheria na kiutawala ili kukikwamisha chama hicho.
"Siasa za kuitwa kukaa kudanganyana zimetawala kwenye nchi hii kwa muda mrefu sana, sisi tulikataa hilo jambo na mara tulipochaguliwa misukosuko ikaanza, Ofisi ya Msajili ikasema haimtambui Katibu Mkuu wa chama chetu, hawatambui wajumbe wa Kamati Kuu, Mwanasheria Mkuu, na Manaibu Katibu Mkuu. Hawa watu wanaiba uchaguzi kwa sababu walishangaa tunapofanya uchaguzi wa kidemokrasia wanataka wa wizi," amesema Heche.
Aidha, Heche ameorodhesha kuwa misukosuko hiyo imejumuisha pia kukamatwa kwa viongozi wakuu, kufunguliwa kwa kesi za uongo dhidi yao, na kufungiwa kwa chama hicho kwa siku 39 na Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa.
Amesisitiza kuwa licha ya kupita kwenye vitisho hivyo vikubwa chini ya utawala uliopo sasa, CHADEMA haiko tayari kurudi nyuma katika msimamo wake wa kusimamia haki, demokrasia ya kweli, na kupigania Katiba Mpya kwa ajili ya Watanzania.
@Thommunkondya Ukiwa mwanafunzi wa ubora kweli-kweli, hutakiwi kuchagua maarifa na hekima kulingana na vile Ina sound na unavyotaka wewe.
Akina Jenerali Ulimwengu na Warioba nao ni hazina. Ila hutakaa uzingatie Hilo sababu biti zao na nyimbo zako haviendani.
Kuna ile huna haraka na maisha. Unaona muda wa kupumzika unao. Una matumaini mno na kesho kuliko leo. Unatamani mno kile usichokifanya. Unajipanga lakini huanzi. Ukianza kidogo umeacha. Unachoka haraka. Unaahirisha utekelezaji. Inaitwa kukosa nidhamu.
Ukishakosa nidhamu unakotamani kwenda utapajua vizuri lakini hufiki. Miaka inaenda lakini hakuna mahali unaenda. Unaamka asubuhi mara jioni hii hapa. Unaianza Januari mara Juni hii hapa. Hakuna kitu kimebadilika. Utakapoanza kuona umuhimu wa leo kuliko kesho, ukaacha kujipanga sana kila kitu kinaanza kubadilika.
Shangazi @MariaSTsehai nimeona leo nikupe MAUA yako. Najua utamaduni wetu unatufunza kumpa mtu maua yake akifa, kitu ambacho si kizuri. Mi napenda ku celebrates watu wakifanya vizuri. Nimejijengea hiyo culture.
Unafanya kazi kubwa sana, unaipenda sana nchi yako, unalipa gharama kubwa juu ya haya mapambano. Mashangazi wengi tulikuwa nao humu, wameyaaga mashindano. But you're still here, madame. Una kila sababu ya kuweza kuendelea na mishe zako. Given that you're an African woman, family responsibilities etc zingeweza kukufanya useme sina muda. Lakini uko hapa, kueleimisha, kuencourage, kushawishi na kupambana. Hata pale ulipokuwa so down, kwa kusemwa, kutukanwa, kupigwa propaganda na kusingiziwa. Ulisimama kidete kuendelea mbele, na kufocus. Na zuri zaidi, in the mid of that unaweza hata ku encourage wengine 😭. Maombi yangu, ni Mungu akutunze na kizazi chako, uone na kufarahia matunda ya unachokipigania. Amen.
Pokea maua yako, Shangazi
@SuluhuSamia Sio kwa ubaya lakini. Mbona mh. Rais hatutangaziagi kama hivi anapoondokaga kwenda kwenye ziara za kitaifa?
Au mwaliko wa Putin umekuwa special sana??
VIDEO:
Kada wa ACT Wazalendo Luhaga Mpina amemtaja Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu kuwa ni mmoja wa wanasiasa mahiri na Mwanamageuzi wa kweli ambaye mara zote amekubali kuwa mstari wa mbele kupigania Taifa bila kujali gharama anayoweza kulipa kutokana na kile anachokiamua kwa maslahi ya Taifa
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo, Jumatatu Juni 01.2026, Mpina ameeleza masikitiko yake kufuatia 'kifungo' cha takribani mwaka mmoja ilichokuwa imekipata CHADEMA kufuatia 'kesi ya mgawanyo wa mali za chama hicho' iliyokuwa inasikilizwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam akidai kwamba kesi hiyo na nyingine zinazoikabili chama hicho au viongozi wake hazina msingi wowote bali ni sehemu ya kuwadhohofisha wasishiriki kikamilifu kwenye shughuli zao za Kikatiba na kisheria,
Sambamba na hilo, amegusia ujumbe aliopewa na Tundu Lissu siku alipohudhuria kesi yake Mahakamani ikiwa ni muda mchache tu tangu INEC itangaze kuenguliwa kwake kama mgombea wa ACT Wazalendo kwa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, ambapo kuenguliwa kwake kulitokana na pingamizi lililokuwa limewekwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG).
Countries in the Bible and what they are called today:
Persia — Iran
Babylon — Iraq
Assyria — Iraq, Syria, Turkey
Canaan — Israel, Palestine, Lebanon
Aram — Syria
Moab — Jordan
Ammon — Jordan
Edom — Jordan
Philistia — Palestine (Gaza region)
Cush — Sudan / Ethiopia
Media — Iran
Mesopotamia — Iraq
Phoenicia — Lebanon
Asia Minor — Turkey
Macedonia — North Macedonia / Greece
Rome — Italy
Tarshish — Possibly Spain
The Bible was written in real places, among real nations, throughout real history.
These weren’t fictional lands. They were kingdoms, empires, and nations where God revealed Himself, judged rulers, raised prophets, delivered His people, and fulfilled His promises.