@ndembo255@Neypaul01 Kuota upo shule na wakati ulishamaliza siku nyingi ni ishara za kurudi nyuma kiroho, kiuchumi na kitabia. Hebu fikiria ulikuwa shule na umri gani na ni mawazo gani uliyokuwa nayo kipindi hicho!!
Kwanini leo uote umerudi nyuma? Kataa hali hiyo kwa maombi binafsi