@DanyeMufasa Ikiwezekan pia Jeshi la Polisi, liangalie kwa karibu suala la waendesha bodaboda wanaotumia spika na kuwasha muziki kwa sauti kubwa mitaani.
Tunashauri kuwepo udhibiti maalum juu ya matumizi ya vifaa vya sauti kwenye vyombo vya usafiri, ili kulinda amani, usalama.
@IAMartin_@wizara_afyatz@ChangiaDamuTz Mama hakuwekewa chupa 12 za damu kama ilivyodhaniwa aliwekewa chupa nne tu. Kwa kawaida na kwa mujibu wa utaratibu unaotumika katika hospitali nyingi, kila chupa moja ya damu huhitaji wachangiaji wanne. Huu ndio utaratibu wa kawaida unaofuatwa katika vituo vingi vya afya.
@IAMartin_@wizara_afyatz@ChangiaDamuTz Samahani hakuna malipo ya damu yenyewe. Gharama inayohusika ni ya vipimo vya ulinganisho wa damu (cross-match). Kila mara mgonjwa anapowekewa damu, kipimo hiki hufanyika ili kuhakikisha damu atakayopatiwa inaendana na mwili wake na hivyo kuepuka madhara yanayoweza kutokea.
#Statement | The Foreign Ministers of the Kingdom of Saudi Arabia, the Hashemite Kingdom of Jordan, the United Arab Emirates, the State of Qatar, the Republic of Indonesia, the Islamic Republic of Pakistan, the Arab Republic of Egypt, and the Republic of Tรผrkiye condemn Israeli occupation authoritiesโ continued closure of the gates of Al-Aqsa Mosque / Al-Haram Al-Sharif to Muslim worshippers particularly during the holy month of Ramadan.
Abdulla Mzee Hospital ๐ฅ Pemba ๐ it stands as a Pillar of Hope for people in this Island ๐๏ธ
2. Admin offices
3. Wards on first floor, ground floor outpatient services
4. Staffโs apartment
Zanzibar government hospitals have adopted a publicโprivate supervision model
@Pipfoundation_ @grok which schools offer fully funded scholarship to international students on master of Medicine especially in master of Medicine in Orthopedic surgery
Please donโt come into my DM asking for a free consultation. I donโt offer free consultations. I know my worth, and I have a family to feed and bills to pay. When you come into my DM, the first thing you will receive is an invoice for the consultation. I am a qualified and professional medical doctor, and I will operate as one; no compromise.