Hongera sana Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Tulia Ackson @TuliaAckson kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Mabunge Duniani (IPU) 2023 -2026 @ipu.parliament_official
Artwork Designed By @MustafaShujaa#IPUPresident2023to2026
Hongera sana Mwanangu Fadhili Mustafa Shahame kwa kuchaguliwa kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chipukizi wa CCM Mkoa wa Lindi.
Imani walionesha Wajumbe wa Mkutano Mkuu Chipukizi CCM Wilaya ya Nachingwea ni kubwa sasa nenda ukajifunze na ukafanye kazi kwa bidii, juhudi na maarifa
Bibi Salome nilikutana nae Ruangwa wakati wa ziara ya Dkt. Samia Suluhu Hassan 18 Septemba 2023
Bibi Salome anasema "Mambo yote anayofanya anatufurahisha Mama Samia, 2025 Kura za kwake zimejaa Kapu koooo!!!"
#MustafaShujaaUPDATES
KADI ZA UWT 2000 ZATUA KATAVI
Katika kuchochea na kuongeza idadi ya Wanachama wa Jumuiya Umoja wa Wanawake CCM (UWT) Mkoa wa Katavi Mbunge wa Viti Maalum Mkoa Martha Mariki amekabidhi jumla ya kadi 2000 kwa Jumuiya hiyo
#PichaYaShujaa#MustafaShujaaUPDATES
๐ธ @MustafaShujaa
Vikundi vya Wajasiriamali Mkoa wa Katavi vimeongezewa nguvu na Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Katavi Martha Mariki ili kuzidi kuchochea kasi ya kujikwamua Kiuchumi ambapo amekabidhi fedha Milioni29 kwa Vikundi vya Wanawake.
#PichaYaShujaa#MustafaShujaaUPDATES
๐ธ @MustafaShujaa
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Singida Ndg Munira George @geomunira ameongoza Kikao cha Baraza la UVCCM Mkoa wa Singida kilichoketi 10 Julai 2023
#MustafaShujaaUPDATES
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. @comrade_kawaida apewa heshima ya kuwa Kiongozi wa Msafara wa Vijana kutoka Vyama vya Ukombozi Barani Afrika na kupata nafasi kuzungumza kwenye Mdahalo wa Vyama vya Kisiasa nchini China
#MustafaShujaaUPDATES
https://t.co/YrVJ1DaQHt
Vijana 142 Wahitimu Mafunzo ya Teknolojia stahiki ya nguvu kazi (Labour Based Technology)
UVCCM Mkoa wa Njombe wakiongozwa na Mwenyekiti wa Mkoa Samwel Mgaya wameratibu mafunzo ya Teknolojia stahiki ya nguvu kazi ambapo Vijana 142 wamehitimu.
#MustafaShujaaUPDATES
Leo nimepata bahati na furaha kukutana na Mzee wetu Profesa Lumumba @ProfPLOLumumba , Ninakuombea heri na maisha marefu ili nizidi kujifunza mengi kutoka kwako