@PresenterNoah Mhhh kuna wapemba wamenunua maekari ya Ardhi huku bara vipi hii nayo ni sawa? Hizi kauli si njema kuendelea kutamkwa zitakuja kuleta yale ya south Africa yanayotokea sahivi acheni wenye macho ya fursa watumie hizo fursa. Kama mtu kashindwa kuona kinyozi ni fursa muache.