@Nishati2017 Ila tu mnawakosea sana Wazazi wetu,wetukuza kwenye maisha haya,inabidi sana muwaombe radhi Kwa kuwasababishia maradhi na wengine vifo. Yaani huruma yenu imechelewa mno,muwaombe RADHI
@Marge_DTM@AnethStanley Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai,ndo kiboko Cha uchawi na wachawi. Walishamjaribu wanajua alichowafanya....kumbuke wale nguruwe walivyoteketea....Mwamini yeye pekee yake.