Viongozi wa dini ya kiislam, Wana Kazi kubwa ya kufanya Kwa Sasa. Ukiangalia kila shoga anayekamatwa ni muislam, wadada sigara nyota nao wengi ni waislam why Muslims?
Watu hawasomi Tena Qur an? Au ni utandawazi umetanda, au ndiyo kusema ni mwisho wa Dunia? ๐ค๐ค๐ค
Pray for Islamic
Ivi wasanii wa Tanzania Wana impact Gani Kwa jamii ya kitanzania???
Ikiwa, Kuna matukio yanaigusa jamii directly (negative) na Bado wanakaa kimya tu. Mnasuburi kuimbia campaign????
#justiceforbinti ๐โ