Hizi case za Mh. TAL (LISU) iwekwe kwenye kumbukumbu ya taifa. Mzee anateswa na kudhoofishwa kisiasa.
Siasa ni mchezo mchafu ๐ฎ
Imani yangu: LISU hana kosa trust me. BOOKMARK THIS POST, kesi itaisha mwezi wa 8 au 9 means atakuwa hajafanya campaign ya maana. Guess what next? โฌ๏ธ