Baada Ya Kufanya "Heist" Za Kutosha Bila Kukamatwa Morgan Freeman Inabidi Afanye Heist Ya Mwisho Kulipa Deni La ke Kwa Warussiaπ
Kama Unavyojua Deals Za Mwisho Waga Ngumu π
Kazi Ya Mwisho Hawezi Kufanya Mwenyewe Inabidi Kum'train Antonio Banderas Ili Kazi Iwe Simple π₯πΏ
Msimu Wa Kwanza Ulipokelewa Vizuri Baada Ya Kutoka Tarehe 17 Dec 2021 Chini Ya Director Hwang Don-hyuk
Vipi Msimu Wa Pili Umeuona??
Kwenye Scale Ya 1-10 Unaupa Ngapi??
Ukiangalia Movie/Series Ukiachana Na Burudani Pia Jifunze Kitu πΏ
Kwenye Hii "The Day Of The Jackal" Nimependa Namna Nuria Alivyokuwa Ana Act Baada Ya Kugundua Mumewe Ni Muuaji
Yaani No Matter How Angry She Was Lakini She Was To Have A Conversation π€
Wadada Chukueni Hiyo π€
β‘Wauzaji wa vifaa vya Apple waliothibitishwa na Apple (Apple Authorized Resellers)
Hawa ni wauzaji wa rejareja ambao wamethibitishwa na kupewa kibali cha kuuza vifaa vya Apple kupitia maduka yao au kupitia mitandao.
Wapo wachache sana duniani ukiliganisha na uhitaji.
Kwenye Storage kuna SSD (Solid State Drive) za aina mbili, SATA SSDs na NVMe SSDs. Katika Laptop yako angalia kama unatuma SATA/NVMe SSD, baadhi wanalalamika laptop zao zina SSD ina ni bit slow.
NVMe SSD iko Faster kuliko SATA SSD, ila inategemea na matumizi.
Uzi mfupi π