@millardayo@ayotv_ π’π’π’nipumzi tu hii Mh: Hkigwagalla inatusumbua. Ndio maana kibri huzidi mpka mwanaadam anatangaza yupo taari kumdhuru kwa kumuua mwaadam mwenza. Allah amemsifu mwaadam ni kiumbe bora wwe unatamka hivyo. Tujitahidi kuzichunga ndimi zetu. Omba toba kwa Allah
@HKigwangalla π’π’π’π’Yan muislm dhabbiti na unamuogopa allah na unatambua uchungu wa ummauti unadiriki kutamka utamua mwaadam mwenzio kwa ajili ya Twiga.! Shekhe ukweli umetereza. Amka usiku siku ambayo mahususi umuombe allah msamaha kwa kauli uliotoa. Sote tunamapungufu mkamilifu ni Allah.
@HKigwangalla π’π’π’kigwangalla...soma Qur'an surrat ALL -ALAA aya ya 16&17 . Badhi yetu tuliokimbia madra tunaitambua kwa jina la sabbihisma.
@UsalamaWaTaifa ushujaa wa nni? msikilize Mh bungala ameripoti yakuwa huko kusini watu wameuwawa msikitini je! serikali mpaka sasa imemkamata nani??? au mauwaji ya Rufiji pwani kuranga na kibiti je! adui yetu nani??? jaribu kutafakari ndugu.