@RevocatusMagum1 Sasa mnataka kumlaumu Seleman Mwalimu kwa lipi haswa ?kwani yeye ni kocha mpaka ajue mbinu zake ,ebu tukifungwa tu move on tuangalie mechi zijazo kwani kufungwa ni sehemu ya mchezo hakuna timu itakayo shinda mechi zote
@Iamfelixtz Hakuna mchezaji hapo wa kuisaidia Yanga kimataifa labda ligi ya ndani na huo ndio ubabaishaji wa viongozi katika usajili yaani bado wanasaji wachezaji wa kimaitaifa ambao uwezo wao ni sawa na wachezaji local players ,nothing special just behind the scenes