Jamaa kapata ajali wasamaria wema wakamkimbiza hospitali. Baada ya muda kazinduka:
Jamaa: Simu yangu iko wapi?
Muuguzi: Ipo tumekutunzia
Jamaa: Mke wangu asiishike kabisa
Muuguzi: Kicheko
Wenge la jamaa lilifanya hata asimuone mkewe pembeni ya kitanda
๐๐๐๐๐พ๐๐พ