Huyu ndo Aldolf athanas anayefanya dili zote za Mkuu wa usalama wa Taifa ( Mombo) za kununua majumba ,magari ya kifahali nk ,mshahala wake ni kodi zetu
@MariaSTsehai@Sativa255@TanzaniaLeaks@ze_mandevu
Hofu ya watawala juu ya Gwajima inaweza wakati mwingine kueleweka. Gwajima hajawahi kufanya mkutano popote nchi hii usishone watu. Nimekuwekea picha tatu za kibabe ambazo CCM hawana mpaka kesho.
Watu wanaosombwa na bodaboda, treni, mabasi na maroli bado hawajai kabisa mkutanoni. Picha za kuibia. Gwajima akiitisha mkutano leo palepale walikozindulia hapatatosha.
Enewei! Nasikia mgombea ameahidi kwamba atahakikisha watoto wanajua kusoma na kuandika na kuhesabu wafikapo darasa la tatu😂😂😂. #SisiTutaongea