Siasa zinapigwa na huyu mama awamu hii kwa kweli anaacha alama kuhwa sana kwenye umaridadi na unguli wa siasa za nchi hii
Yaani historia itamuandika kwa herufi kubwa sana milele dawamu!.. Yaani Lema kumbe kalialia mpaka kafutiwa misala yake yote! Huku nako Mboyee kamualika kwenye shughuli ya BAWACHA ๐คฃ๐คฃ
Yaani ni hivi kama hawa wapinzani hawatajipanga na kufanya siasa za masuala na kuacha siasa za uanaharakati wanazodanganyana kule space na Maria watapotezwa vibaya sana
Sisi tukiona haya mapemaaa tukaunga mkono juhudi mkatutukana sana humu! Haya kiko wapi? Hamnaga AKILI UFIPA
Uzuri wa mama hanaga kumung'unya maneno yaani!.. ๐คฃ๐คฃ sasa Lema tokeza ukatea DPP arudishe mkeka ubaoni
Kumbe Lema alikimbia hizi ngese alooo watu wana siri sana
STORIES OF CHANGE 2022: Mtanzania yeyote kuanzia miaka 18 anaruhusiwa kushiriki na kujishindia zawadi kemkem!
Zawadi zitatolewa kwa Washindi 20. Mwisho wa shindano ni Septemba 15
#StoriesOfChange#SOC2022