Hawa ndio walimu tunapenda kuwaona kwenye shule zetu. Tuwe nao hata mmoja. Nadhani @wizara_elimuTz kuna cha kujifunza hapa. Jinsi ya kutengeneza walimu wengi vijana wenye ari na nguvu hii hata kama mazingira ya kufundishia sio wezeshi. Lazima tufanye haya, watoto wetu ni muhimu🤗
Also:
Jayrutty Investment East Africa Co Ltd will contribute on the signing of any new player at all that coach 𝐅𝐀𝐃𝐋𝐔 𝐃𝐀𝐕𝐈𝐃𝐒 wants at Simba SC. 🚨👀
#NguvuMoja#AfricanFootball
🚨Jean Charles Ahoua 🇨🇮, in the previous season with Stella Club de Abidjan, scored 12 goals and provided 9 assists, setting a record as the player involved in the most goals in the Ivory Coast league over the past eight years
⤵️
ELIMU: Umoja wa Walimu wasio na Ajira (NETO) wakiongea na Waandishi wa Habari wametoa mapendekezo 16 kwa Serikali ili kuipa hadhi kada ya Ualimu kutokana na uhalisia wa wahitimu na changamoto zinazoonekana katika zoezi la usaili kwa kada hiyo
Miongoni mwa Mapendekezo hayo yaliyosomwa na Katibu wa NETO, Daniel Edigar Mkinga, ni kusitisha usaili mara moja kwa kada ya Ualimu na kutumia utaratibu wa awali
Mapendekezo mengine ni Vyuo vimalize hatua zote za kumthibitisha Mwalimu na siyo kuthibitishwa baada ya kukaa muda mrefu Mtaani na kusitisha uzalishaji wa Walimu Vyuoni hadi waliopo Mtaani wapate Ajira
Soma https://t.co/DamL5JJ1jh
#JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #UnemploymentCrisis
HiliGame | @amrikiembatzz
Kwa namna hali ambavyo ipo Legend Amri Kiemba anaamini Singida United, Singida Fountain Gate na sasa Singida Black Stars zimeanzishwa kuipa nguvu Yanga.
@IamLASWAI@Jambotv_ Kwa point Yako ya kwanza ni kua upimaji wa walimu ulikua tofauti kidogo (objective assessment) ambao ulipima kumbukumbu na sio uwezo wa mwalimu kufundisha, Kwa ufundishaji waliwapma wachache kwenye usaili wa mahojiano tu.
@IamLASWAI@Jambotv_ I agree kwenye point Yako ya mwisho kupunguza idadi ya kudahili walimu vyuoni, ikiwezekana iwe 10 elf tu Kwa mwaka jumla ya wadahiliwa Kwa vyuo vyote.