@julip202 Nidhamu, Nidhamu, Nidhamu, Uvumilivu na Bidii Sengerema High School ndio mahali pake. Ufaulu wa shule unaridhisha, apambane akimalizia hapo atatoka na kitu.
@willywiszzley @julip202 Afadhali kipindi chenu, tuliomaliza 2017 below hata maji hayakuwepo tunajua changamoto tuliyopitia. It needs discipline and courage kusoma pale
@MassanjaTollah@IAMartin_ Nimeshawahi kutoa msaada kwa matukio kama hayo zaidi ya mara 5 cha muhimu zaidi ni taarifa, inawezekana kabisa kwa watu waliokuwepo jirani kutoa msaada wa huduma ya kwanza. Maarifa, ujasiri na akili/maamuzi ya kujiongeza vilikosekana hadi wakachelewa kumpatia msaada kwa haraka.
@MussaMaras@IAMartin_ Ni nyuki wa kawaida, nyuki anapokudunga anaacha harufu (pheromone) ambayo inaashiria hali ya hatari kwa nyuki wengine wanakufata kuendelea kukudunga. Ndio kilichotokea katika mazingira hayo
@bedastianswai@IAMartin_ Imani za kishirikina zinahusikaje kwenye tukio hili? Elimu ya kawaida hapo kabla hajalala nyuki walikua washamdunga na kuacha harufu (pheromone) ambayo inaashiria hali ya hatari kwa nyuki wengine na kuja kuendelea kumdunga.