Kukosa maarifa sahihi ndo kunawafanya watu Wengi wanahangaika kukusanya mali (Accumulation) bila kuelewa jinsi ya kuzipanga kimkakati (Allocation) ili zilinde thamani yake wakati wa mfumuko wa bei (Inflation).
JIFUNZE SOMO
Kila maumivu hubeba hekima.
Jiulize:
Nilijifunza nini kuhusu mipaka? Kuhusu kujithamini? Kuhusu red flags?
Ukikwepa somo, maisha yatakurudishia kwa sura nyingine.
HATUA 10 ZA KUMOVE ON.
1. ACCEPTANCE
Acceptance sio kusema โniko sawa.โ
Ni kukubali kuwa kitu kilikuvunja, kilikuumiza, na kilibadilisha maisha yako. Unapoacha kupambana na ukweli, nguvu iliyokuwa ikitumika kukataa huanza kutumika kupona. Kukataa ukweli kunachelewesha healing.