Ujuzi ninao fundisha Mimi ni wa mapishi
Ya Keki
Kutengenezea Ice cream za Biashara
Mikate ya biashara.
Vitafunio
Kupamba Keki za aina zote
Kutengenezea fondant
Mimi ninakuongezea kujiamini katika mapishi yako. Madarasa yapo Online na Offline. Ukitaka kujifunza nicheki 0718553999
Kuna idea nyingi tu za DIgital products, angalia wewe una weza nini na kuibadilisha hiyo skill yako kuwa digital product na kuuza online.
Usikae kizembe,
Mtandaoni kuna fursa nyingi sana. Amka na anza sasa..
Kuandaa ebooks ni rahisi sana, andika maarifa yako unayo taka kuelimisha watu katika document (Microsoft word/ Google Docs)
kisha ingia kwenye https://t.co/wIeG0bE4vu na pangilia ebook yako na iweke katika mfumo wa PDF na tayari unaweza anza kuiuza.
Hizi Ndio Bidhaa Zenye Faida Zaidi Duniani katika ulimwengu wa sasa wa Digital Economy.
Hapa naongelea zaidi "Digital Products"
Digital Products, Ni zipi hasa...?
#UZI
Writing is the most powerful tool to make money online. Sadly, most people have no idea how or where to start.
Writing can be a great way to make money online, but it takes time and practice to become successful.
EBooks are digital books that you can sell on Amazon, @gumroad or @Clubzila_ and @MyColumnApp , and other online marketplaces. You can write about anything, from a how-to guide to a mystery novel. With an eBook, you can reach a large audience and make money from your writing.
📍 Mwanza kwetu.
Main question: Can someone really make money from farming in Tanzania ..!!? And if so, why isn't it prioritized!? Nimemiss mijadala nataka hard talk na vijana wa Mwanza tuongee kilimo,fursa na changamoto. Mpo tayari?
—@MalemboLE
Mwanafunzi wetu mwenye juhudi hadi sasa anakomaa kukamilisha zoezi nililompa la kuandika Barua kwa kutumia MsWord. Ana wiki mbili hapa MapindiStore na hadi sasa maendeleo yake ni mazuri mno.
Jina Langu ni Amosi Nyanda...
Mwaka 2019 Nilimuaga Boss Wangu Ofisini naenda Kula Lunch...
Lakini...
Sijawahi Kurudi Mpaka Leo...
Na Sasahivi naishi Kwa Kuandika Copy Huku najenga Biashara ya UHAKIKA Kupitia Mitandao ya Kijamii
Baada ya Miaka 2 Mbele 👇
In today's digital economy, these are the most valuable products:
Nitaachia Guide ya nini unaeza kuuza kama Digital Product soon kupitia @Clubzila_ tena kwa Kiswahili kabisa.
Pesa ziko kwenye maarifa...
@NNgailo Kaka nimetuma hela kitambo sana ila kitabu hadi sasa sijatumiwa. I think is the reason why you need to use @MyColumnApp ambako exchange is done automatically.
Building an App from technical standpoint is not that much hard.
Building a business around your App is hard
How your App going to serve intended audience is the question you should ask yourself. For me @MapindiApp and @MyColumnApp server my audience well the business is live
@chiluba1456@mafolebaraka Hongera kwa kutumia @MyColumnApp enjoy your reading. And I wish you successful career in freelancing.
We are proud to play as a vehicle to facilitate the sales of ebook from the boss @mafolebaraka
@mafolebaraka kasema ebook yake katika jukwaa la My Column iuzwe kwa discount ya 33% ili kila mtu aweze kuipata.
Namna ya kuanza kuuza ujuzi Upwork inapatikana kwa Tsh 10,000 badala ya 15,000.
Gharama ya kuiacha kazi yako inasambazwa, inachapishwa na inauzwa na watu bila wewe kupata chochote ni kubwa zaidi kuliko kuwaambia watu kazi yako ipo ktk jukwaa la @MyColumnApp ambako ipochini ya ulinzi
Uza ebook yako kupitia jukwaa la My Column uwe huru na unnecessary stress