@badru_abdallah@fbuyobe Pole kwa changamoto . Umelipia ndani ya app ?..Umejaribu kusubscribe kwenye ukurasa wake ?..kama bado unapata changamoto , tafadhali wasiliana na support , 0754546567 , tutakupa msaada zaidi.
@doreen123m@fbuyobe@doreen123m kama unapata changamot6o kusoma nyuzi hizi ndani ya app ya clubzila , plz wasiliana na support , utapatamsaada kwa haraka zaidi . 0754546567 call/sms/whatsaap
MNARA WA MLINZI
September 11 2018 Wakazi wa Mapinga Bagamoyo walishtushwa na milio ya risasi usiku.
Milio ile ilikuwa ikitokea katika kambi ya mafunzo ya kijeshi Comprehensive Training Center (CTC) Mapinga.
Kabla sijaandika THREAD HII,nilijipa muda wa kutosha , kuthibitisha na kujiridhisha na niliyoaandika
Uzii huu ni sensitive sana ,kwani unaweza kuharibu biashara ya mtu au wadhifa wake
Lakini , kwanini nidanganye , ingali naweza sema ukweli ?
MR KUKU -Tariq Machibya
THREAD π
@masebuna@fbuyobe Pole kwa changamoto mkuu . Kwa upande wetu hatuna changamoto katika system zetu so far...naomba ni dm username yako au majina unayotumia kwenye app..ili tukusaidie ku troubleshoot hii changamoto. 0754546567