"Wewe ni MBEBA MAONO, usitishwe na kelele za wengine.
Sauti za upinzani ni kawaida katika safari yako kuelekea kufikia ndoto zako.
Kumbuka, miti mikubwa ndiyo inayopigwa na upepo mkali zaidi. Uvumilivu wako na imani yako ndizo silaha zako zenye nguvu zaidi!