This is the best news kwa maandamano. Sijui hata kwanini watu walitaka Afcon iondolewe.
Watanzania , hii nafasi ni kama ile nafasi tuliyoipata siku ya uchaguzi.
Moja ya sababu iliyofanya maandamano yakafanyika siku ya uchaguzi ni sababu n ilibidi waondoe mabunduki na magari ya kutisha barabarani ili watu watoke wakapige kura,same thing na Afcon, kutakuwa na wageni kutoka Africa nzima lazma waondoe mabunduki, askari na vitisho vyote lazma vikome ili wageni na wa nchi za nje waweze kutoka waende mpirani. Vitisho vyovyote wakitoa au wakijaza askari hakuna mgeni atatoka hotelini.
Jamani siku ya mechi ya kwanza ya Afcon Tz, hakuna mtu kukaaa ndani.
Kwanza hawatoweza kuzima internet, pili hawawezi kupiga watu risasi maana itabidi wawapige risasi mpaka wageni waliokuja TZ. Hawawezi kuzima internet maana itakuwa world news.
Kwanza wageni karibia wote watakuwa na rangi kama zetu, hawatojua mgeni yupo Mtanzania yupi, so ile ya kupiga tu risasi mtaani watashindwa.
Tusipotumia AFCON kujikomboa hakuna nafasi ingine itakuja ambayo hatuwezi kupigwa risasi, kuzimiwa internet, wala kujaziwa askari barabarani.
Na wakijaza tu askari barabarani basi na mood yoote ya afcon itafia hapo hapo, na wageni walioko TZ ndo wata tweet na kupiga picha na kusambaza kwenyw social media mpaka dunia nzima ione.
NI LAZMA TUPAMBANAE HII SIKU!!!!
Maaandalizi makubwa yaanze on the ground. Mobilization ianze kufanyika.
THIS IS OUR CHANCE!!!
That is my Boss,
Spirit yake haiwezi kuvunjwa na kuta za gereza.
Watanzania wamekusikia Boss. Kila mtu achangie chama kwa uwezo wake.
CHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
Huyu dada wa Kyela FM anatakiwa aje mjini, head hunters wa radio kubwa fanyeni namna.
Alinipigia verse moja ya Chid Benz na ile ya Dizasta ilikuwa noma kabisa.
Ningeomba kila Mtanzania afikirie kwa kina na kisha tutoe mawazo yetu nini kibadilike kwa wanaharakati.
Mimi personally naona kama wanaharaki wengi harakati zao zinaharibu movement kuliko kupeleka movement mbele.
Just because tuko same side doesn’t mean tuangalie tu pale some of us kazi wanayofanya ni more damaging to the movement kuliko kusaidia movement.
Yani mpaka naona kama kunahitajika training ya wanaharakati kufanyika au labda kuwe na group la wanaharakati ambapo kabla mtu hajaposti upuuzi wowote ambao katumiwa DM anatuma kwenye group then wanaharakati wengine wanatoa mawazo.
Too much fake news na ukurupukaji wa habari kitu ambacho sasa kinafanya wanaharaki wote tuonekane waongo with zero credibility.
Yani wao kila kitu anachotumiwa DM wanaruka nacho without thinking.
Hakuna strategy ya mapambano hakuna matumizi ya akili, hakuna strategy ya kuondoa wananchi uwoga na kuwawekea safe space ya kukutana na wananchi wenye fikra kama zao. Hakuna effort ya kujenga sailoji ya wananchi ni kuposti upuuzi wanaokota okota huko.
Wanaharakti wengi are killing the movement instead of advancing it kwa sababu ya ukurupukaji.
Hawajui hata target audience yao ni nani na jinsi ya kuwatengenezea safe space kwenye platform zao. Wao wanadhani the whole of Tanzania is their target audience, hapana target audience ni Watanzania wanaodai ha tu.
Naomba tushauriane jinsi ya kudili na hili tatizo.
Mfano I saw 3 huge mistakes just this last week alone, tena wiki ya maandamano, Story ya kimama kukimbia nchi, then akajitokeza kuwaharibia credibility kwa wanancji, ile barua feki ya wanafunzi wa vyuo vikuu na mbaya zaidi ile ya jana usiku wa manane wanaharakati wanaposti na kuriposti habari ya kuwaarifu Watanzania kuwa wauwaji wa KMKM kutoka Zanzibar wameingia bara na kuvalishwa nguo za polisi, really, hii ndio message ya mwisho wanaharakati kuwapa waandamanaji??? So CCM wawape habari za kutisha na nyie pia muwape za kutisha.
Alafu naomba mnisamehe kwa ambao nitawakwaza. Sio kama nataka kuwa kiongozi wa movement au kujifanya mjuaji na wengine hawajui, hapana hakuna kiranja kwenye hii movement, wote tuko sawa ila lazma turekebishane la sivyo hakuna mwananchi atatoka kuandamana kwa kuhamasishwa na watu ambao hawana credibility!!!! THIS IS WHY NAONGEA!!!!!!!!! Bila kujenga credibility na uaminifu na u-seriousness na kujenga saikolojia za Watanzania hakuna Mtanzania atatoka kuandamana tena, watakuwa wanafanya maandamano ya kukaa ndani, which is not enough
Ukiona maisha yanakupiga kila upande…
Kiakili umechoka, kifedha umebanwa, na hata mwili hauna nguvu kama zamani…
Basi usikimbie huu uzi.
Kuna kitu nilikuja kugundua kipindi kigumu nilichopitia…
Na kinaweza kubadilisha kabisa namna unavyojiangalia wewe mwenyewe na maisha yako.
Thread🧵⤵️