TISS| MAPINDUZI| MTIHANI MKUU WA KIKWETE
Mwaka wa mwisho wa utawala wa Kikwete ulikuwa ni mgumu kuliko umma unavyofahamu.
Alikuwa anapambana na mpasuko ndani ya chama, kushamiri kwa upinzani… lakini zito zaidi ilikuwa ni changamoto iliyotokea siku ya 13 May 2015.
Thread…
Hakuna furaha kubwa sana maishani kwa Mwanaume kama kupata mafanikio na bado ukiwa na mwanamke yule yule aliyekuvumilia katika kipindi kigumu ambacho ulikuwa unajitafuta
MKASA WA KWELI
KAZI YA KULINDA MAITI MOCHWARI ILIVYONISHINDA
Authored by ZUBERI MARUMA
WhatsApp contact 0759427653
Adopted from Jamiiforums @JamiiForums
Jina langu naitwa Joseph Matombeko ,mzaliwa wa Nairobi nchini Kenya naishi na familia Mke na watoto wa tatu,ni mfatiliaji mzuri tu wa stori zako,nikaona nikutafute nami nikupe mkasa wangu naimani utawaburudisha wasomaji kama mimi nilivyoburudika kwa mikasa ya wenzangu,
Kazi yangu mimi ni ya ulinzi baada ya kumaliza mkataba wangu katika shule fulani binafsi wenyewe walikataa kuniongezea mkataba wakanilipa fedha zangu nikarejea nyumbani,
Fedha zile zikiwemo za mafao nilizitumia kurepea nyumba yangu nyingine tukashauriana na mke wangu tuka anzisha mradi wa kuku,hata ivyo wale kuku ndani ya mwaka mmoja walipuputika,magonjwa hatimaye wakaja kufa wote,nika ingia katika maisha magumu,sina kazi,watoto wanahitaji ada,bado sisi tunahitaji kula,kipindi cha kufa nyani miti yote uteleza hata pia katika kutafuta kazi ajira ikawa ngumu,kila ninapoenda kazi amna,rudi tarehe fulani!
Siku hiyo nakumbuka mchepuko wangu ambaye alikuwa ni daktari katika moja ya hosptali kubwa alinitaharifu juu ya kazi ya ulinzi ilotokea katika hosptal alokuwa akifanyia kazi,ila akunieleza ni kazi ya nini,basi nikijua ni ulinzi wa getini siku ilofatia nikaelekea pale hosptal na kwenda moja kwa moja mpaka kwa daktari mkuu pale hosptalini, nikamwelezea shida yangu ya kazi nikaeleza na wasifu wangu!
"kazi Ipo Mzee Ila ni ya ulinzi wa Mochwari"
Nilishtuka,mpaka Daktari akagundua jinsi nilivyoshtuka,kulinda maiti hakika haikuwa kazi nyepesi hata,kwanza toka nikiwa mtoto nilikuwa nikiogopa maiti hata marehemu baba yangu na mama yangu walipofariki sikuwa na ujasiri wa kuangalia maiti zao mpaka tunawazika,nilikuwa muoga sana leo hii ndo nikawe mlinzi Mochwari hakika lilikuwa ni jambo gumu sana kwangu,
Tena sana,
Nilitoka pale hosptalini nikimwahidi yule daktari kwamba nitarejea hiyo jumatatu kuanza kazi ila moyoni nilipanga kutokurudi!
Nilienda nikamuelezea mke wangu juu ya kazi ile na hata aikuwa na mshahara mzuri wa kuridhisha...
"mume wangu we nenda si unaona maisha yetu jinsi yalivyo,kula yetu tabu,cheki mkeo nilivyopauka,hata ela ya mafuta sipati maisha gani haya mume wangu we nenda"
Mke wangu alijaribu kunisihi,nikicheki watoto walivyojikunja njaa,nikicheki madeni yalivyoniandama ikanibidi tu niende nikijipa moyo nitazoea!
Jumatatu mapema tu nikiwa na viambatanisho muhimu kama paspoti,cheti cha kuzaliwa, kitambulisho cha taifa,barua za viongozi wa mtaa,kadi ya benki, nikaenda kujiandikisha,nikakutanishwa na mwenzangu!
"bwana Joseph kutana na mzee Nelson huyu ndo atakuwa mlinzi mwenzako...
Kusikia vile nikatabasamu kung'amua ahaaa kumbe tutakuwa wawili,ila tabasamu langu likakatwa ghafla baada ya daktari kuendelea...
Mtajua jinsi ya kujigawanya kwa shift wa usiku na wa asb mpaka jioni!,mimi na yule mwenzangu tuka angaliana,daktari akaondoka,sasa yule mwenzangu bwa Paulo akanigeukia
"Karibu bwana Joseph,leo Ndo unaanza kazi rasmi,kwa kuwa ni mgeni nakupendekeza we anza asbuh mpaka saa kumi na mbili naja kukupokea au unasemaje?!"
Nikamwitikia "sawa tu hakuna tatizo lolote"
"Ulishawahi kufanya kazi hii ya maiti hapo kabla?!"
Mzee yule aliniuliza,ambapo kwanza nilitingisha kichwa kukataa
"si kazi ya kawaida hii ni kazi inayohitaji kuwa jasiri na moyo mgumu,pia inahitaji usiri kwa kila utakachokutana nacho!"
'usiri kwa kila nitakachokutana nacho?!'
Nikawaza nikimtumbulia macho yule mzee mwenzangu
'ina maana kuna vingi ambavyo si vyakawaida ninavyoweza kukumbana navyo?!'
Nikawaza Kichwani kwangu huku wasiwasi,khofu ikiuzunguka moyo wangu,ni kama alisoma mawazo yangu akanijibu...
"ndiyo bwana Joseph,kuna vingi si vya kawaida utakumbana navyo hasa nyakati za usiku tegemea hili,ila ujasiri,kutoa khofu kujiamini kunaitajika sana,kulinda mchana ni fresh japo pia kuna matatizo yake,wacha niende nyumbani tutazungumza vizuri saa kumi na mbili nikirejea kila muda fanya maombi,unaonekana muoga!"
11:50 AM
Majira yanayokadiliwa kuwa saa sita kasoro mchana, yanasikika mawasiliano fulani kwa njia ya simu ya upepo.
Mawasiliano haya yanabainika ni baina ya makachero wawili walio kwenye magari tofauti.
يقاتل الإنسان طوال حياته من أجل الدنيا، وعندما يموت لا تمنحه الدنيا سوى شبر من أرضها يُدفن فيه.
Binadamu maisha yake yote hupambana kwa ajili ya dunia. Lakini pindi anapokufa dunia haimpi chochote isipokuwa sehemu ndogo ya ardhi ambayo huzikwa nayo.