@INFLUENCERjr Kwenye tembea yako nenda lindi na Mtwara kule sio beach safi bali kuna virgin beaches bro ni safiii kuliko maelezo
Ila tunafelishwa na uongozi na hazijajitangaza saan
@KomugishaPeace As a womna i can say the man is veery right better https://t.co/91vtECYnFs be aoutside than inside and fail to trike your anger and try to kill better he threw them out the moment he felt distracted
@IAmSilayo @MagrethMtemi@BesteNicolas Hiyo ni shaba inap3nya kwenye ngozi na kupeleka mawasiliqno ya misuli sii pia tulishauriwa na daktari mdogo wetu awe anavaa maana ana shida ya mifupa coz ya sickle cell
@chapo255 Yaani kinamuda nikipishana na watu wanahisi nimesalimiana nao utasikiq marahaba mwanangu au kama mdogo ananisalimia mimi au anaitika nzuri tuu kumne jilikuwa najijibu maswali yangu ya usiku kwa sauti
@Kudu_ze_Kudu Na hapa kwa sisi wapwani
Hata kitunguu hatutui yaani ni maharage ....mahindi....chumvi...sukari...iliki kwa mbaaaaliii na naazi shatashataaa mambo ya vitunguu karoti sijui hoho aisee suo mchuzi huo
@MarekaMalili Kaka amini nakwambia pamoja na ushindi wa jana wa Yanga ila nilipika andazi na haragwe nazi langu kwa raha saana sikulitia mdomoni hata moja vile nimesikia uchungu
Mwisho mzee kasema acha nikuletee kakitu ule ushabiki utakuua ww mwananamke achana na mamipira