Amua dada kujitunza daima Msichana ukiwa smart hutolia naima Hutopangwa kama mafungu ya nyaya ya Dayna Usikubali kulegea dunia huruma haina, How are you (hawa)
Mheshimiwa. DC; apa ulinena sana na Dada Zetu๐๐พ๐ฏ
#Kihasara_Among of you're best songs na hii imoo mzee๐๐พ
@nikkwapili
Watu wanapitia mengi sana ambayo hatuyaoni wala hawatuonyeshi usoni mwetu. Ukiwakuta watu wanafurahi ama kushangilia mafanikio yao hata kama ni madogo, ama ungana nao kushangilia, au wapishe washangilie. Kama wewe si sehemu ya maumivu yao, usilazimishe kuwa sehemu ya furaha yao.
Aliyekukosea jana aweza kujirudi na kukutendea wema kesho. Aliyekutendea wema jana, aweza kukutendea ubaya kesho. Wanapokukosea, andika makosa yao kwa penseli uweze kuwasamehe itapobidi. Wanapokutendea wema, andika mema yao kwa wino, usije sahau wema wao pale watakapokukosea.
Ukienda kwenye eneo jipya ukakuta foleni, jenga tabia ya kuuliza foleni uliyoikuta ni ya nini kabla hujaunga foleni kwa kudhani kuwa waliokutangulia wanasubiri hicho ulichokiendea wewe. Unaweza jikuta umepoteza muda kwa foleni isiyokuhusu na pia umepotezana na foleni yako.
@billionaire_key Failing is nothing to be ashamed of.
The more you fail, the better you'll get. The faster you stumble, the sooner you'll learn to get up.
@billionaire_key Steve jobs say life will hit you in the head with a brick, but you must keep doing what you love because that will pave your path to a bright future. Since work will acquire a large part of your life, you have to find out what you love.
If you haven't found it yet, keep looking.