AMETEKWA TABORA
JINA: JABIRI MTELENGA, mkazi wa Mkoa wa Tabora, Wilaya ya Urambo, Tarafa ya Ussoke.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa, Jabiri Mtelenga ni Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
1:Alitekwa tarehe 19/09/2026 Usoke Mjini
2:Polisi aliyekuwepo kwenye zoezi la utekaji anaitwa Gasper no yake 0789867722(yupo Usoke)
Ndugu wamemtafuta vituo vyote vya Polisi hawajampata
Naona leo kuna watu wamegoma Arusha.
Ndugu zangu bila haki kupatikana, itโs all down hill from hereโฆโฆ.
Yani watu watatafuta kila sababu ya kufanya migomo na kukaidi serikali ila sababu ya ukweli ni HAKIโฆโฆ
Kuna kitu alisema Gwajima mwaka jana kipindi cha UCHAFUZI, alisema, kufanya uchaguzi wa kishenzi ni kitu rahisi, ugumu ni kuja kutawala watu baada ya uchaguzi wa kishenzi. Na hiki ndio kinachooneka sasa. (Naomba mtu anitumie ile clip ya Gwajima)
CCM hawatokaaa waweze tena kuitawala Tanzania kwa amani kama zamani. Yani ni lazma watawale kwa kutumia mitutu ya bunduki, utekaji na kesi za uhaini.
Yani ni hivi, either HAKI ipatikane wananchi wachague serikali wanayoitaka na wapate justice ya October 29 au hakuna mtu ataweza kukaa Tanzania kwa amani.
VIDEO:
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Askofu Dkt. Stanley Hotay, amesisitiza kuwa amani ya kweli haiwezi kupatikana nchini bila kuwepo kwa haki, akionya kuwa kuhubiri amani huku ukosefu wa haki ukifumbiwa macho ni kuzalisha udhalimu uliojificha.
Akizungumza jana Oktoba 21, 2026 jijini Dar es Salaam wakati wa Kongamano la Kitaifa la Dini Mbalimbali Kuhusu Amani, Haki na Uwajibikaji Nchini Tanzania, Askofu Hotay ameeleza kuwa haki na amani ni mambo mawili yaliyoshikamana kwa karibu na yasiyoweza kutenganishwa.
Akiweka msisitizo juu ya uwajibikaji wa viongozi wa dini na jamii katika kusimamia mambo hayo mawili, Askofu Hotay amesema: "Haki na amani zimesongana, huwezi kuzitenganisha hizi mbili. Kuna wakati tunajaribiwa kufikiri tutangaze amani pekee yake huku hatutendeani haki, na kumbe haiwezekani".
Ameongeza kuwa kutenda haki ni takwa la msingi kwa kila mwananchi bila kujali historia au tabia yake, na viongozi wa kiroho wana wajibu wa kukemea uonevu badala ya kukaa kimya.
"Amani bila haki inageuka kuwa udhalimu uliojificha. Kama viongozi wa dini hatuwezi kuhubiri amani huku tukifumbia macho ukosefu wa haki. Haki ya mtu hata kama ana ubaya kiasi gani anayo haki, zile haki lazima zitazamwe kwa ukaribu", ameeleza.
Katika kongamano hilo, viongozi wa dini wamehimizwa kutenda haki, kuwa wapatanishi, kupaza sauti dhidi ya dhuluma, kuelimisha jamii na kuimarisha umoja na uzalendo. Majadiliano yamesisitiza umuhimu wa kukubali makosa, kuwajibika, kutubu na kuendeleza mazungumzo ya kitaifa, maridhiano, uponyaji wa kijamii na kuzuia migogoro.
Kinachotokea Ulaya ni mpango wa miaka 100, project Al-mashru [14 page document was drafted found in Switzerland], ulioasisiwa na Muslim brotherhood. Lengo ilikuwa ni kupenya na kueneza Ushawishi wa dini ya kiislamu kwa njia za kijamii na za kisiasa Ulaya yote. Hatimaye Dunia nzima.
Miongoni mwa watu mashuhuri kwenye haya mawimbi ni Qaradawi, mkuu wa Taasisi Dunia nzima. Amekufa mwaka 2022 ndiye aliyetengeneza mpango wa kuivamia Ulaya kwa kutumia Ideologies[proselytizing] kupitia democracy. Mto umeanza. Na wataichukua Europe kwa muda kidogo ndipo upepo mwingine utakuja.
KAMA Taifa inaonekana hakuna TULILOJIFUNZA baada ya October 29! HUWEZI kuzungumza MARIDHIANO wakati WAPINZANI wa kweli unawavalisha PINGU na UHAINI/UGAIDI! We have to be serious and realistic, if at all, we need a meaningful diaolugue as a NATION!
Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Justine Pambalu amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 21, 2026, na kusomewa shtaka moja la uhaini.
Pambalu, ambaye pia ni Mwenyekiti wa zamani wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Taifa na Mjumbe wa Sekretarieti ya Taifa, Kamati Kuu na Baraza Kuu la chama hicho, amesomewa shtaka hilo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Salome Mshasha.
Katika kesi hiyo ambayo haina dhamana, Pambalu amesomewa mashtaka yake na Wakili wa Serikali, Titus Aron, huku Wakili wa upande wa utetezi akiwa hayupo mahakamani wakati wa usomaji wa shtaka.
Kwa mujibu hati ya mashtaka inadai kuwa Pambalu alitenda kosa hilo katika tarehe mbalimbali kati ya Septemba 1 na Oktoba 29, 2025, katika maeneo tofauti ya Mkoa wa Dar es salaam.
Upande wa Mashtaka unadai kuwa Pambalu alionesha nia ya kushawishi Umma kusababisha kuzuiwa kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, na kwamba alidhihirisha nia hiyo kwa vitendo, ikiwemo kuendesha maandamano yasiyo na ukomo Nchini kwa lengo la kuitisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Muhimili wa Utendaji.
#MillardAyoUPDATES
Serikali ya CCM imemshtaki @John_Pambalu kwa makosa ya UHAINI. Hati ya mashtaka inaeleza alitenda makosa hayo kati ya 1 September 2025 hadi 29 Oktoba 2025 kwa kuunda nia ya kuwashawishi wananchi kwa [kuhamasisha] maandamano [yasiyo na kikomo] kwa lengo la kuitisha Serikali.
Wanawake wa uswazi nawakubali sana. Akikupiga kizinga ataomba elfu 7, 5 sijui elfu 3 ya vocha yaani vizinga vyao haviruki 10k. Tena akijimaliza sana atakuomba 13k ya kijora cha cotton hapo ndio kajimaliza haswaa. Hawa ndio wanajua kabisa kwamba tendo la ngono utamu ni wa wote.
Wakoloni weusi wameemshtaki @John_Pambalu kwa makosa ya UHAINI.
Hati ya mashtaka inaeleza alitenda makosa hayo kati ya 1 September 2025 hadi 29 Oktoba 2025 kwa kuunda nia ya kuwashawishi wananchi kwa [kuhamasisha] maandamano [yasiyo na kikomo] kwa lengo la kuitisha Serikali.
Haya yote tutashinda ni suala la muda tuu.
Kama Tundu Antiphas Lissu ni mhaini, basi Rais wetu shujaa anapaswa kumnyonga mpaka kufa hadharani watanzania wakishihudia.
Amuue kama alivyoua wale wahaini wengine kwa maelfu Oct 29.
Hata mhaini Yesu Kristo aliuawa kwa kutundikwa msalabani hadharani.
Afanye hivyo mtukufu!
This is how day 2 ended in Mbeya #Tanzania this evening!
The standoff continues and people have refused to back down - it is about their daily bread!
Maandamano ina misingi ila haina formula au timetable!
Mbeya wameshaliwasha - #MO29 ndo hii - nitaeleza vizuri mchana!
Ila serikali haramu ikishindwa kusoma alama za nyakati itajuta sana.
#TutaelewanaTu