@JamiiForums Familia imekosa busara na hekima nafikiri kama wangekuwa waungwana tangu mwanzo leo hii kusingekuwa na msiba wameshindwa kutatua mgogoro wa vijana wao mpaka wanauwana na leo hii ndio wanadhihirisha upumbavu wao hadharani
@KisokaMary@hamis_abas Alafu ndio zinaongoza kwa migogoro usipayuke sababu imekutouch most of the women wa kichaga wanaingia kwenye ndoa kwa sababu ya kimafanikio ya maisha
@Thegreencatty@HildaNewton21 Tuwe na akiba ya siku zijazo hivi 4example siku chadema imechukua nchi mtu kama huyu tutegemee awe RC au DC au nyadhifa yoyote ya utumishi wa umma kwa haya matusi na kudhalilisha watu,tunategemea wao ndio wawe watu smart lakini kwa style hii ni 🅾️
@Wutangtz@HildaNewton21 Kwa hiyo unahisi kila kitu ni kodi yako ukiulizwa jeh wewe ni mlipa kodi na unachangia kiasi gani kwa mwaka!, Tunawategemea activist wawe wanajikita kwenye sensitive issues siyo mambo ya udaku ambayo hayana ushahidi
@eastafricatv Hatari sana miaka kadhaa iliyopita tulikuwa tukiona shule nyingi kutoka visiwani zikishika mkia lakini nowdays mambo yamekuwa contrary 🤣🤣🤣 tuheshimu mamlaka