@TitoMagoti Anaongea kama Dalali,ni Aibu kuwa na Mwanasheria Mkuu wa namna hii,hana hekima wala busara,na inaonekana hata iyo sheria haijui,anyway Marekani sio makambako
JALADA #31: - THREAD -
πππππ πππππππ ππππ ππππππ ππππ ππππππ ππππππ πππ π ππππππ
βͺοΈMjue 'Babu Uchebe' aliyepewa jina la 'Kipanga', miaka 64 anagonga vyuma!
βͺοΈSheikh Mkuu wa ma-Sniper ambaye dunia haikumpa heshima!
Twende...