MAMBO 6 YA KUACHA KWA WANAUME WA THAMANI(HIGH VALUE MEN)๐
- Bila shaka unaesoma hapa ni mwanaume uliyechoka dharau, mwanaume uliyechoka kuwa mr. nice guy na uliyechoka kuwa mtu wa kawaida.
- nakuletea mambo 6 ya kuacha ili uwe Mwanaume wa thamani ya juu.
kindly repost, like.
Ukiwa na Hii Ebook Ndani ya Dakika 10 Unakuwa umepata Post 99+ Za Viral ili uzidi kuwa active Mtandaoni
Kumbuka Unavyokuwa unapost sana ndivyo unaongeza Visibility (Uonekanaji) kwa Akaunti nyingine!
Hii Ebook Ni FREE 100%
Repost & Like
Comment "HOOK" Nikutumie
(Must follow)
@BILALIHASSANI2@Aloycemsaki You said it all. Inakupa kulingana na unachotafuta ukiscroll.
Binafsi tiktok inanipa motivation kuliko social media yoyote ile kwa video za mindsets and inspirational contents.
@ThisIsMagnetics Nimeona maandishi sehemu yanasema
msichana akikwambia umruhusu afikirie baada ya kumtongoza, hata akirudi baadae mkatalie,
Johan Cruyff aliwahisema, Ikiwa una mawazo ya pili juu ya kucheza kwenye timu yetu, basi wewe haujitajiki tena.
Asante Cryuff. I understand it now.
@prossoff Mkiwa 20's age. Atakukataa kwasababu bado unajitafuta, atalala na wanaume waliokuzidi kipato, jamii itakwambia mwanaume maskini hustahili upendo
30's, kipato kimeongezeka, jamii itatataka uwe muaminifu kwa mwanamke mmoja
Where your loyalty when you call me broke in your 20's?
Hiyo 50,000 unayoitafuta kwa siku 3 ili umtumie mwanamke kuna jamaa kwenye simu yake anamtumia hiyo ndani ya dakika 2 mara tu baada ya kumuomba.
- Ana option nyingi kuliko wewe kwa sasa
- Focus on improving yourself.
Bro to Bro codes!โ
Aina Tano( 5) za SURUALI ๐ Ambazo Mshkaji hutakiwi kuzikosa!
Kumbuka Mavazi Yana Yana kutambulisha kabla hujasema chochote.
Muonekano wako Utarahisisha baadhi ya mambo au kufanya mambo yawe magumu
Cheki na hizi ๐ฅ
๐
1/5. OFFICIAL/FORMAL PANTS โ
Kuna hii aina ya wanaume unakuta anamuuliiza mwanamke "what you bring to the table?"
Tayari tunajua jibu la hili swali, usirudie kuuliza unajiabisha na wanawake hawatakwambia.
The reality about our societies.
- Kula baga, pizza, chipsi mayai, nenda club weekend kalewe hakuna mtu anaejali
- Anza kufanya mazeozi, kula protein powder, kunywa maziwa, kula mayai 6 -12 kwa siku. Ghafla kila mtu anageuka kuwa daktari.
Stay on your lane losers.