@DullahTheking2 Kutoka idara ya acheche production....kuna Raha yake bhana...kuna mtu nlkutana nae rorya anasema yy anaangalia watafsir wa kijaruo ndo anafurahi
@Tweener003 2009 wakati anaaga pale @eastafricatv kumpisha dullah planet alikua ana 29 lakn badala ya kuanzisha kipind cha mkasi 2011 always na 21..baadae alipounga juhudi za chama mkono akawa na 18...saiz ana 19 bado mbichi sana
@INFLUENCERjr Hapo watoe wabunge,waajiriwa, waliojipata kibiashara,under 18age na wanafunzi bila kusahau wafungwa tunabaki kama 30milion hapo Kula mtu apewe 3M akajitafute...