Hongera sana kaka.
Wanangu turetweet yangu nidake hiyo simu ndio niongeze mawanda ya kutoa nondo kwa simu nyingi.
Haters na wanangu sana.
Turetweet hii nishinde sasa, hamnilipagi mjue๐คฃ
Hii naiombeni.
@Njiwa_Store
Ukiwa mwanaume mjinga na uvulana mwingi ikaungana na Pussy starving mindset.
Kutuma text like "Mbona kimya" kwa mwanamke wako unaona kama ni kitu cha kawaida sana.
I was there wazee huko form two.
During simping days nilikua nikituma text kwa mchumba sitoi ile screen ya message nasubiri ajibu ndo nimpe instant reply.
But, yalishapita bora waseme naringa ila achelewe kujibu nianze kuuliza uliza its not.
Zaidi nitabariki jitihada kwa kukaa kimya pia tena kumzidi.
Posti ya kusevu hiiโฆ..
.
Magufuli alipotaka kuongezewa muda wa urais alitumia wabunge wa chama chake na makada wa CCM. ฤฐn 2026 kelele za SAMIA aongezewe muda wa urais zitaanza kutoka kwa wasanii. Hawa kwenye picha pamoja na wenzao wengine ndio wataongoza agenda ya katiba ibadilishweโฆ
.
Msimuone huyo mama hana akili kwa jinsi anavyohangaika kuwafurahisha wasanii anajua nini kiko mbeleni. Kumbukeni mwaka jana kimya kimya wasanii karibia woote waliopewa mikopo ya 40 kwa kutumia pesa za walipa kodi, mikopo ambayo mpaka leo hakuna aliedaiwa hata senti moja.. Hiyo yote ni rushwa wanapewa ili 2026 wafanye kampeni chafu ya kubadili katikaโฆ..
.
.
Naomba msevu hii posti ili 2026 muirudieโฆโฆ