@sukununu01 Huyu ni kahaba anayejaribu kutangaza biashara yake. Mwanamke wa kawaida anayejiheshimu hawezi kukaa hivi, kupiga picha na kisha kuirusha hadharani tena mitandano ambako hata baba yake anaweza kuionai!
@Mikumifinest Hii yenyewe umebuma. Aliyefumania ndiye kahisiwa kibaka wakati alikuwa anajulikana na majirani wa huyo demu!!?? Umekosea zamu hii. Tunga upya.
@PMadeleka Hapa kuna mojawapo kati ya haya 2:
1. CCM haiheshimu amri ya Serikali.
2. Zuio la Serikali haliihusu CCM (Nyuma ya pazia wamepewa ruhusa ya kuendelea makutano).
Yote 2 ni haramu na yanakiuka utawala wa sheria.