Kuna tetesi kuwa brand ya ROOM OF JEANS inawindwa na wawekezaji kutoka China na Pakistan. Inadaiwa wadosi wamefika $2.5M, huku mmiliki wake, Dominic Mmasi, akitaka zaidi ya $10M ili kuachia brand hiyo.
Je, Dominic Mmasi anapaswa kuuza au aendelee kuijenga brand iwe kubwa zaidi?