Iko hivi…….
Umri unaenda pengine hata uzee unakaribia…..but kuna ndoto na goals haujazi-accomplish.
Wakati umri unavyozidi kukua ndivyo maradhi nayo yanazidi kukunyemelea, changamoto zinazidi kuwa nyingi na kubwa!!
Majukumu yanazidi, family issues, kids, ndoa/mahusiano, na unakuwa financially unstable.
The course ambayo ume-stick nayo kwa muda mrefu haijakupa matokeo yoyote, sana sana imekuletea changamoto zaidi na kukukosesha opportunities!!
HAPA SASA NDIO MTU ANAFIKIA MAAMUZI YA KUUZA SOUL!!
LIWALO NA LIWE POTELEA PWETE!
Very few of us….ndio tunaweza kushikilia bomba mpaka mwisho!!
No matter how tough the situation is!
Sio rahisi sana, wengi wanashindwa njiani katikati ya safari!
So far tumeshawapoteza wengi katikati ya hii safari….tuwaombee wanaoendelea kushikilia bomba Mungu awape imani na ustahimilivu!
Mkti Tundu Lissu anasema ,
Msikubali kupita njia isiyo na haki. Mimi niko imara na sina shida hapa nilipo! Mimi nikifia humu jela, lakini nyinyi mkakaza, jueni mtawasaidia wananchi. Nikifungwa, mkakaza katika haki bado mtawasaidia wananchi. Na nikiachiwa, tukakaza wote kwa pamoja, vilevile tutawasaidia wananchi. Lolote kati ya hayo matatu lina faida kwetu kama tusipozimia mioyo. Kuweni IMARA. 😭😭😭😭
1. Kuna kipindi Mungu anakuvua kila kitu.
2. Marafiki, pesa, heshima — vyote vinapotea.
3. Unaumia, lakini yeye anajua anachofanya.
4. Anakuvua ili akupe kilicho bora zaidi.
5. Amini mchakato.
Kila siku nijikumbushe kuwa;
1. Mungu yupo✅
2. Mimi ni bora but si bora kuliko wengine✅
3. Mimi si mjinga✅
4. Mimi siyo failure✅
5. Niko hapa kwa neema✅
6. Kuwapenda wengine✅
7. Kuishi katika nyakati zote✅
8. Kesho itakuwa bora kuliko leo✅
9. Sitadumu milele✅
🙏🏽🙏🏽🙏🏽.
Kamwe usipuuzie ishara
Mwanamke wako kama ni malaya au yuko kupata pesa tu kwako, kuna ishara utaziona.
Kama mshikaji wako ni mnafiki, kuna ishara tu utaziona..
Wengi ambao wanateseka sasa hivi, ni kwasababu waliamua kuzipuuzia ishara..