Na hii kauli ya kusema kwamba UKIHITAJIKA UTAITWA hapana😅😅😅 SITAKII Kabisa
Malkia Esta – Alijihatarisha kwenda mbele ya mfalme bila kuitwa ili kuwaokoa watu wake, na hatimaye akafanikiwa!
Mda mwingine Tuforce Tu Hata kama Hatujaitwa✊🏻✊🏻
SIO kwamba wanaodumu katika mahusiano yao wamekamilika sana✅.
Hapana. Ila wanadumu kwa sababu HISIA ZAO za upendo ❤️ zina nguvu kuliko fikra za mapungufu yao ✊.
Nafsi inapotamalaki hisia za kweli 😊, akili hukosa nguvu ya kuhukumu mapungufu.
#NotForTheWEAK🦅
Kwenye maombi yako usisahau kumuomba MUNGU akupe neema ya kuweza kudhibiti hasira zako. Maana mara nyingi maamuzi yanayofanywa kwa HASIRA hayajawahi kuwa rafiki kwa binadamu.💔💔
#NotForTheWEAK🦅