@stanleysamwel22@kasesco_tz Kk km hujawah kutumia acha hata kujarbu kujiulza mana usje sku ukashawishika,hyo kitu ina addiction mbaya mno na inatesa sana kuacha. Unaweza ukahisi km mtumiaji hatak kuacha kmb adhakua addicted na anatman kla sku kuacha
@Addy_Adams Kwan wenye magari hua hawakosei? Ni kweli yawezkana hapo bajaji kakosea lkn tujiulize kuhusu jinsi wenye magari wanavowaletea dharau wenye vyombo vidogo hasa bajaji na pikipiki. Ndo mana na wao wameamua uwe ubaya ubwela
@ALugandu IST kwa nongwa,bora ukwangue v8. Hata barabarani mnashndana na bajaji ili tu muwaoneshe kwmb inaweza. Mnadharaulika tu wenye magari ya gharama hawanaga huo ujinga