@IAMartin_@HecheJohn@zittokabwe@SuphianJuma Most of this type wanakua na maisha marefu pasipo malengo,,,yaani wanaishi kwa nguv za Damu,,,au hufany hata kazi za kawaida kwa manufaa binafsi zaidi kuliko kuwajibik
๐Sabaya anaendesha kikosi cha uhalifu lakini mamlaka za uteuzi zimekaa kimya.Haya mambo ndiyo aliyokuwa anafanya Bashite na kutumia Suma JKT kuunda rogue group na imeuwa watu sana sana
๐Endeleeni tu lakini msije kusema hamjui nchi iliharibikia wapi kwa kuwa hakuna atakayezia ๐ฅ