@Eric__Bernard Wanaharakati ni madikteta wasio na madaraka tu,ila hao ndo wabaya kushinda hata watawala,walichofanikiwa kwa usahihi ni kugeuza chama cha siasa kuwa jukwaa la harakati na viongozi wamejaa kwenye mfumo wao,kimsingi watamgusa kila mtu na kumbaga asipofuata itikadi zao.
@YerickoNyerereT Wanaharakati ni madikteta wasio na madaraka tu,ila hao ndo wabaya kushinda hata watawala,walichofanikiwa kwa usahihi ni kugeuza chama cha siasa kuwa jukwaa la harakati na viongozi wamejaa kwenye mfumo wao,kimsingi watamgusa kila mtu na kumbaga asipofuata itikadi zao.
Another thing we need to work on is being better aunts and uncles to our brother's kids. We can't have another generation of children who prefer the mother's side of the family over the father's. That thing has to end with us!!