Leo, tarehe 26 Aprili, 2026 ikiwa ni Siku ya #Muungano, tujikumbushe mwaka 2014 ambapo Mhe. @TunduALissu aliwasilisha maoni kuhusu #Muungano katika Bunge Maalum la Katiba.
Vodacom mmenisababishia hasara ya Tsh Milioni 36 nitawafungulia kesi mahakamani kwa kutokutoa taarifa na kuathiri miamala yenye thamani ya mamilioni ya hela na kunisababishia hasara kubwa ya Milioni 36 Jiandaeni
Ntaanza kupost kazi za uhakika hapa zilizopo Dubai utatuma CV direct kwa mwajiri ukipata kazi mie usinipe hata Tsh mia niombee PEPO pekee ๐๐ฟ
"WOTE TUPATE"
Cv yako hakikisha ina picha yako na elimu na experience zako usisahau Skills ni KEY sana+ email yako na Telephone no yako
@BarakaMaviatu Idea yako ni nzuri hila watu unaofanya nao kazi changamaoto ni kubwa sanaa mwisho wa siku utaikimbia kazi au urogwe ufe.....๐คฃ๐คฃ๐คฃ
@MkulimaKante Bro kama kitu ukijui bora ukae kimya huyo konda siku akilala na 30k anaomba mungu hiwe hivyohivyo kila siku,maan kuna wakati wanakimbiana sheri kulingana na pesa waliopata kwa siku hiyo....