Ugeni kutoka LSF walipofika Njombe Paralegals Centre kututembelea na kutambua Huduma za Msaada wa Kisheria zinavyotolewa kwa jamii na kukabiliana na mabadiliko ya SHERIA mbalimbali ikiwemo Mirathi, Ajira Kazi na uhusiano, Ardhi, Sheria ya Mtoto, na Jinai.
Elimu ya Msaada wa Kisheria ikiendelea kutolewa kwenye Kampeni ya TUNAISHI NAO (UPLAND) nasisi NJOPACE tukiwa bega kwa bega kuhakikisha jamii inapata elimu ya Msaada wa Kisheria kijiji cha Yakobi.
Mkutano Mkuu wa shirika (Bodi & Paralegals NJOPACE tarehe 24/02/2023 ambao ulifanyika kwenye Ofisi ya Mtaa wa Mpechi Halmashauri ya Mji Njombe Mkoa wa Njombe
Mkutano huu ni kupitisha Bajeti na Mpango kazi ambao unaonyesha Utekelezaji wa Mradi wa Legal Services Facility (LSF).
Njombe Paralegals Centre (NJOPACE) wakitoe elimu shule ya Msingi Boimanda juu ya Ukatili wa Kijinsia kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Msaada wa Kisheria ikiwa sambamba na siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia, Halmashauri ya Mji Njombe Mkoa wa Njombe.
Kikao cha Robo ya Kwanza Tarehe 15/11/2022 Mwaka 2022/2023 cha Wasaidizi wa Kisheria kutoka Njombe Paralegals Centre (NJOPACE) lengo ni kujadili masuala ya Utekelezaji wa Mradi wa Huduma za Msaada wa Kisheria Halmashauri ya Mji Njombe chini ya udhamini wa LSF
Njombe paralegal centre wakiendelea kutoa elimu kwenye maandalizi ya Uzinduzi wa kuwasha Mwenge Viwanja vya sabasaba mkoani Njombe karibuni ndugu tushirikiane kwa pamoja katika kuhakikisha jamii inapata elimu ya Msaada wa kisheria.
Kituo cha Msaada wa kisheria na Haki za Binadamu Njombe wakiwa kwenye kikao cha kota wakijadili namna gani mradi wa huduma za Msaada wa kisheria unavyoendelea kwenye jamii.
Hivyo wakihamasishana kui saidia jamii hususani wanawake, Watoto na watu wasiomudu gharama za mawakili.
Njombe paralegal Centre mkao wa Njombe Wilaya ya NJOMBE wasaidizi wa kisheria na ndugu NiColaus wakitoa elimu ya ukatili wa kijinsia kwenye chuo cha Molt Colleague